Nawaogopa wanawake wazuri, tatizo sijui nini?

Pamoja na ujanja wangu wote ktk nyanja mbali mbali lakini linapo kuja swala la mapenzi nishindwa kujielewa sijui Kwanini Nawaogopa wanawake wazuri (Watanashati/ Warembo) Tangu nibaleh na kujiingiza na maswala ya mahusiano sijawahi kujipa ujasiri wa kusimamisha PINI na kuitupia vina. Sio kama siwataki hapa ukweli Nawaogopa sana wanawake wazuri. Wanawake wangu sikuzote ni wakawaida sana tena wengine kiukweli hawanifikii hata kwa hadhi (kuku wa kienyeji) Imefika wakati Rafiki zangu wananiita wa Mizoga kwa kupenda wanawake wabovu.
MKUU PISI ZA UKWELI LAZIMA UWE NA MPUNGA,SAA WE KAMA VIWANJA VYAKO LOCAL LAZIMA UPATE WA KILOKOLOKO.afuu uwoga wako ndo umaskini wako...nisawa na kufunga tumbo kubwa kula kwa jirani
 
maumivu ya kizidi, lazima ukimbie kwa daktari sasa unapata yoyote yule, hapo ndio balaa. unapiga game huku macho juu kama gwaride.

hakunaga mwanamke mbaya mbele ya macho ya mwanaume, huyo unaemuita mbaya lazma kuna viwili vitatu vimekuvutia kwake ndio maana ukamtongoza. tatzo wanaume mnataka mwanamke ambaye hata mungu bado hajamuumba.
 
Pamoja na ujanja wangu wote ktk nyanja mbali mbali lakini linapo kuja swala la mapenzi nishindwa kujielewa sijui Kwanini Nawaogopa wanawake wazuri (Watanashati/ Warembo) Tangu nibaleh na kujiingiza na maswala ya mahusiano sijawahi kujipa ujasiri wa kusimamisha PINI na kuitupia vina. Sio kama siwataki hapa ukweli Nawaogopa sana wanawake wazuri. Wanawake wangu sikuzote ni wakawaida sana tena wengine kiukweli hawanifikii hata kwa hadhi (kuku wa kienyeji) Imefika wakati Rafiki zangu wananiita wa Mizoga kwa kupenda wanawake wabovu.

Pumbav hakuna mwanamke anaeitwa mzoga kwa haiba yake wote ni sawa mbele za mwenyezi Mungu.eti wamizoga,mapumbav sana
 
Sidhani kama huwa ni kukomoana ila kila mtu huwa anafurahia sasa kinachotokea kwako nadhani huwa ukikojoa(ukifika) kielelni mara1 unaridhika kabisa na unakuwa hutaki tena wakati mwenzio akiwa bado anataka.
Kumbe upungufu wa nguvu huwa si kwa wanaume tu hata wanawake wengine kama huyu wana upungufu wa nguvu za kiume? Huyu mwanadada atakuwa na tatizo hilo sio bure yaani kimoja tu hoi au jamaa hamuandai vizuri anaparamia mnazi tu.
 
Pamoja na ujanja wangu wote ktk nyanja mbali mbali lakini linapo kuja swala la mapenzi nishindwa kujielewa sijui Kwanini Nawaogopa wanawake wazuri (Watanashati/ Warembo) Tangu nibaleh na kujiingiza na maswala ya mahusiano sijawahi kujipa ujasiri wa kusimamisha PINI na kuitupia vina. Sio kama siwataki hapa ukweli Nawaogopa sana wanawake wazuri. Wanawake wangu sikuzote ni wakawaida sana tena wengine kiukweli hawanifikii hata kwa hadhi (kuku wa kienyeji) Imefika wakati Rafiki zangu wananiita wa Mizoga kwa kupenda wanawake wabovu.

Umeshamalizana na waliokushika ugoni??
 
Kuna wanawake wengine ni wavivu hata ukitaka kufanya mapenzi nae ataanza kujifikiria sana, na hata mkifanya mara 1 tu anakuwa hataki anakwambia amechoka.

Kumbe upungufu wa nguvu huwa si kwa wanaume tu hata wanawake wengine kama huyu wana upungufu wa nguvu za kiume? Huyu mwanadada atakuwa na tatizo hilo sio bure yaani kimoja tu hoi au jamaa hamuandai vizuri anaparamia mnazi tu.
 
Pamoja na ujanja wangu wote ktk nyanja mbali mbali lakini linapo kuja swala la mapenzi nishindwa kujielewa sijui Kwanini Nawaogopa wanawake wazuri (Watanashati/ Warembo) Tangu nibaleh na kujiingiza na maswala ya mahusiano sijawahi kujipa ujasiri wa kusimamisha PINI na kuitupia vina. Sio kama siwataki hapa ukweli Nawaogopa sana wanawake wazuri. Wanawake wangu sikuzote ni wakawaida sana tena wengine kiukweli hawanifikii hata kwa hadhi (kuku wa kienyeji) Imefika wakati Rafiki zangu wananiita wa Mizoga kwa kupenda wanawake wabovu.

Viva kuku wa kienyeji...

"Supu ya kuku wa kienyeji ni tamu saana, nasema supu ya kuku wa kienyeji na nyama yake ni tamu saaana" Naimba tu jamani!!
 
usikimbilie wanawake warembo.....nyumba nzuri ina wapangaji wengi. Utakuta usiyoyatarajia.......!!!!!!!!

hamna bwana. nyumba inaweza kuwa nzuri na ikakosa wapangaji maana kila mtu anakuwa anahisi ishapangishwa au bei kubwa. ni vizuri kupiga hodi ujihakikishie. hizo mbaya au za kawaida nazo unaweza fikiri hazina wapangaji kumbe wapangaji wote wamekimbia nyumba nzuri kwa kuogopa bei wakajikuta wamebanana humo. kote kote fanya savei.
 
Pole sana mzee wa mizoga ila wasikudanganye kila mwanamke ni mzuri bwana
 
kuna mmoja enzi zangu, siku ya kwanza kumtongoza alinitamkia "ohooo yaani wewe pole na samahani, huwezi kuwa na mimi"...nikang'ang'ania nikapata mzigo siku ya kwanza, alivyoonja mziki wangu akasahau yote, nimezaa naye mtoto wa kiume nikamtelekeza zake huko tulishapelekana hadi ustawi wa jamii nalipia kupitia ustawi kwani aling'ang'ania anataka kuharibu ndoa yangu ya church kabisa anamtukana hadi mke wangu wa ndoa...nilimvurumsha kama simjui. sasaivi ameolewa lakini haishi kunikumbuka. ni mzuriiii yaani mzuri mwanamke wa marangu mweupe si mnene si mwembaba si mrafu si mfupi. yaani mzuri ajabu. mimi sasa ukiniangalia kama wewe mwanamke siku ya kwanza utanidharau na hautaniubali, ila ukinipa mzigo lazima ung'ang'anie. hii ni story ya kweli.
 
Pole sana mzee wa mizoga ila wasikudanganye kila mwanamke ni mzuri bwana
lakini wanawake wote wazuri tu na wote wabaya tu, kwasababu sura zao kule kwenye naniliu zinavyotisha wote wanafanana tu. usiangalia uso.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom