Nawaogopa wanawake wazuri, tatizo sijui nini?

Nawaogopa wanawake wazuri, tatizo sijui nini?

kuna mmoja enzi zangu, siku ya kwanza kumtongoza alinitamkia "ohooo yaani wewe pole na samahani, huwezi kuwa na mimi"...nikang'ang'ania nikapata mzigo siku ya kwanza, alivyoonja mziki wangu akasahau yote, nimezaa naye mtoto wa kiume nikamtelekeza zake huko tulishapelekana hadi ustawi wa jamii nalipia kupitia ustawi kwani aling'ang'ania anataka kuharibu ndoa yangu ya church kabisa anamtukana hadi mke wangu wa ndoa...nilimvurumsha kama simjui. sasaivi ameolewa lakini haishi kunikumbuka. ni mzuriiii yaani mzuri mwanamke wa marangu mweupe si mnene si mwembaba si mrafu si mfupi. yaani mzuri ajabu. mimi sasa ukiniangalia kama wewe mwanamke siku ya kwanza utanidharau na hautaniubali, ila ukinipa mzigo lazima ung'ang'anie. hii ni story ya kweli.

pathetic-
 
from my eksipiriensi wanawake ambao ni wazuri wa sura wana papuchi mbaya sana...na wale ambao sura zao hazielewileki wanakuwa na papuchi nzuri sana na mchezo wanaujua si mchezo....kwa hiyo mkuu kama unataka ladha chukua kuku wa kienyeji Ila kama unataka show off tafuta wazuri....
 
hivi kwanza unakuaje na mwanamke ambaye unamuona mbaya..kwa ajili ya kusuuza rungu tu au?trust me hamna mwanamke mbaya ila ni matunzo tu na kumkubali the way alivyo.
 
Huna tatizo
.tena akili yako inapiga kaz vizur....kwan hao binadam ni mizoga?mm nadhan tatizo liko kwa rafiki zako kumdharau Muumba....uwaombeee na marafiki zako
 
Ukiwaogopa wazuri ujue hujiamini. Fanyia Kazi hili ufaidi ulichoandikiwa.
 
Pamoja na ujanja wangu wote ktk nyanja mbali mbali lakini linapo kuja swala la mapenzi nishindwa kujielewa sijui Kwanini Nawaogopa wanawake wazuri (Watanashati/ Warembo) Tangu nibaleh na kujiingiza na maswala ya mahusiano sijawahi kujipa ujasiri wa kusimamisha PINI na kuitupia vina.

Sio kama siwataki hapa ukweli Nawaogopa sana wanawake wazuri.

Wanawake wangu sikuzote ni wakawaida sana tena wengine kiukweli hawanifikii hata kwa hadhi (kuku wa kienyeji) Imefika wakati Rafiki zangu wananiita wa Mizoga kwa kupenda wanawake wabovu.

mwanamke haitwi mtanashati bali mrembo

tatzo lako huna nyota ya chipc mayai
 
Testostérone hormones zako zipo low ndiyo maana hujiamini...kula vyakula vyenye kiwango kikubwa cha zinc uboost...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom