Nawaogopa wanawake wazuri, tatizo sijui nini?

Nawaogopa wanawake wazuri, tatizo sijui nini?

Anza mazoezi kwa mabarmed wazuri baada ya hapo dili na za udsm
 
Wasichana warembo mnamatatizo sana mwanaume anakuja na ugwadu wake labda mwezi mzima hajananiii mkiingia kwenye gemu tu goli 1, unakuwa hutaki tena, kuna duu alinifanyia hivyo, tulipopanga mchezo nikampeleka akale ugali na samaki ili apate nguvu tulipoenda kwenye mechi sikumsikia akisema amechoka hadi nilipo fika goli 3.

heheh,umenchekesha apo kwny kugegeda,..tugegedane sana kwan mashindano..nikongoroe shape ili iweje..
 
Wasichana warembo mnamatatizo sana mwanaume anakuja na ugwadu wake labda mwezi mzima hajananiii mkiingia kwenye gemu tu goli 1, unakuwa hutaki tena, kuna duu alinifanyia hivyo, tulipopanga mchezo nikampeleka akale ugali na samaki ili apate nguvu tulipoenda kwenye mechi sikumsikia akisema amechoka hadi nilipo fika goli 3.

hehehe,jmn mpenzio muonee huruma,..hv unafikri kuwa mwanamke una.ti.... tuu,unafkr ni raha all the time??smtym compromise,sasa nikomae magoli mengi kwani me mid fielder
af mwngne unajitosa na anakucheat,kaz gan,kamoja viwil yatoshaa
 
Mwanamume mpe k**ma hadi aridhike ili akiona she mwingine tu anakukumbuka jisni unavyomridhisha. Wanaume wengine wamekulia seheemu za ziwani wanakula sana samaki hivyo akikushika shughuli yake siyo kama wale wa mikoa ambayo wanakula maharage.

Hilo ni kweli mimi pia naogopa kwani kila mtu ana mmezea mate bba inatisha na watu ukileta mchezo wanatumia gharama baba !!!!!!!!!!!!!!
 
Uoga wako inawezekana umekuepusha na mengi.kama umri wa kuoa umefika nakushauri hao hao wa kawaida ndio wenyewe pamoja na sifa nyingine.kubali yaishe usije ukajiingiza kwenye matatizo wanayokimbia wenzio.

Ushauri mzuri sana huu.
 
Mwanamume mpe k**ma hadi aridhike ili akiona she mwingine tu anakukumbuka jisni unavyomridhisha. Wanaume wengine wamekulia seheemu za ziwani wanakula sana samaki hivyo akikushika shughuli yake siyo kama wale wa mikoa ambayo wanakula maharage.

aaah wapiii...wanaume namba nyingine nyie,mtu anaweza akakufunua wee hauambulii chochote,ya nini nitegue kiuno,aende tu kw hao wengne,asilete tu HIV
 
Ukiteguka kiuno ujue wewe hufanyi mazoezi. Jiulize mbona vijijini au wasichana wale wa uswahilini hawana hayo mambo ya kuogopa kuteguka?, na ndiyo tatizo la warmbo wengi wao hawataki kufanya mazoezi wanakula chps hivyo miili yao inakuwa haina nguvu

aaah wapiii...wanaume namba nyingine nyie,mtu anaweza akakufunua wee hauambulii chochote,ya nini nitegue kiuno,aende tu kw hao wengne,asilete tu HIV
 
endelea kuwaogopa tu wana garama sana na kama una mkono wa birika utaishia kuwasifia kila siku.
 
mademu wakali tuachie sisi bob,kupata mademu classic ni nyota na damu..kama hauna damu ya kung'oa mademu wakali we endelea kupiga hao hao kina Amina miwanja..wasije wakakudanganya watu umu kwamba ooh mademu vyuma mpaka uwe na mkwanja mrefu kiiivyoo ahh wapi...jipange tu bob,,,kula vidude vako vya hatari mambo ya kina Ralph lauren lui v gucci ,,,mnyamwezi unanoga alafu unanukia mbaya madafu yametuliaaaaaaaa. upepo mtamu tu unampitia mtoto puani alafu hauna habari mikausho mikali ,,, unamtoa mtoto mara moja moja viwanja kama dinner ivi. kwa mfano unajitutumua sea cliff uko coral bich cjui mara umemsaplaiz na kizawadi kipochi cha. fendi cjui mcqueen vitu vidogo km ivo ata km unamfata na duet au vitz akyamama achomoki...jizee kmamake ata likija kumfata na cruiser yake mkonga cjui kilimo kwanza litaishia kupigwa hela tu.

sasa we kichaa wangu geto lenyewe unaloishi alieleweki kmamake geto linanuka miguu hatariiii duh plus kwapa plus p..umbu mara alufu ya jiko la mchina dagaa vitunguuu yani km jehanamu ya saba mtu akiingia kmamake floor imepasukapasuka sista duu atakanyaga wapi na supra zake jamani ..kitanda chenyeww kinatisha shuka limechoka mpk limekuwa km na vichengachenga flani bob,,,,we mwenyeww utanashati wako bonge la sharo kmamake km tozi wa mbagala au bitoz nyangema vile umepania kiboya mpk unauzi yani unaonekana confidence hauna ata aaaarrrghhh ebu achana na watoto. wakali tuachie wanyamwezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom