Nawaogopa wanawake wazuri, tatizo sijui nini?

Nawaogopa wanawake wazuri, tatizo sijui nini?

Hivi matokeo ya kidato cha pili bado???? Wenzako wameshatangulia kidato cha tatu kwani hawatarajii kufeli na incase akifeli school fees yake ataitumia kurudia form two..!
 
Girls are just girls nothing to be afraid of. Grab your balls and jump in the water its time to SINK or SWIM

FACE YOUR FEARS!!!!!!!!1

hongera kwa maneno mataaam!

chukua hii zawadi sasa!

523080_290311451081766_1507711895_n.jpg
 
Girls are just girls nothing to be afraid of. Grab your balls and jump in the water its time to SINK or SWIM

FACE YOUR FEARS!!!!!!!!1

Hili ndio jibu hasa, girls are just girls. Tena one might be surprised at how easy it is to get wanawake wakali wakati mwingine.

Tatizo kubwa ni hadithi za vijiweni na siku hizi kwenye mitandao ya kijamii, mara lazima uwe na hela nyingi au uwe handsome kama mr So and So. Kumbe kitu kikubwa wanachokitaka ni wewe tu, be different, be confident and then treat her like any other woman out there sio unaenda na hadithi za watu wanafaidi utaonekana mshamba tu.
 
Ukiteguka kiuno ujue wewe hufanyi mazoezi. Jiulize mbona vijijini au wasichana wale wa uswahilini hawana hayo mambo ya kuogopa kuteguka?, na ndiyo tatizo la warmbo wengi wao hawataki kufanya mazoezi wanakula chps hivyo miili yao inakuwa haina nguvu

mi mla ugali kabisa,lakini mambo ya kukomoana kitandani noo,
 
Excel mbona wanitamanisha hiyo mihela halafu mie nna shidaje ya hela hapa
 
Last edited by a moderator:
Umesema una hadhi ya juu kuliko hao wakina dada, hadhi ipo kiasi gani? unatembelea gari la aina gani? unakaa nyumba ya aina gani na ipo maeneo gani? Kipato chako kwa mwaka kipo katika hali gani?

Ukitupatia wanaJF majibu kwa maswali hayo tutakujibu kwa ufasaha kwamba mapenzi na hadhi ni vitu viwili tofauti.

Angalizo: Huwezi kupata demu Classic maeneo ambayo sio Classic.
 
We jamaa nafikiri umekosa hali ya kujiamini, kuwapata hao unao waita wewe ni warembo ni simple sana, nimeona wachangiaji wengi sana wakitoa vigezo ambavyo hata mimi naunga mkono asilimia zote
1. Hakikisha una mkwanja wa kutosha
2. Kujiamini ni kwa muhimu sana, wanawake walio wengi hata wasio warembo mara nyingi wanapenda mwanaume aliye confident
3. Uwe hand-some au mtanashati
4. Uwe unafahamu swaga za kimjini
Kwa hizo sifa lazima uwapate tu hata iwe vipi, lakini binafsi nakushauri kama unahitaji mpenzi wa kutulia naye na awe faraja yako ya moyo tafuta mwanamke wa kawaida tu, maana hao warembo wana competition kubwa sana, ukitoka naye out mijianaume inakuwa inamtolea macho kila wakati na bila hata aibu wengine watamkonyeza mbele yako, sasa kama una moyo mwepesi utajikuta unakuwa mtu wa kuumia kila wakati. Pia kumbuka unaweza kumbadiliosha mpenzi wako unayemwona wa kawaida na akawa mrembo kwani hakuna mwanamke aliyezaliwa mrembo
 
Wasichana warembo mnamatatizo sana mwanaume anakuja na ugwadu wake labda mwezi mzima hajananiii mkiingia kwenye gemu tu goli 1, unakuwa hutaki tena, kuna duu alinifanyia hivyo, tulipopanga mchezo nikampeleka akale ugali na samaki ili apate nguvu tulipoenda kwenye mechi sikumsikia akisema amechoka hadi nilipo fika goli 3.
Hahahaaaaaaa... mkuu unamaanisha vihepe na takeaways zinawaondolea nguvu za kike?
 
mademu wakali tuachie sisi bob,kupata mademu classic ni nyota na damu..kama hauna damu ya kung'oa mademu wakali we endelea kupiga hao hao kina Amina miwanja..wasije wakakudanganya watu umu kwamba ooh mademu vyuma mpaka uwe na mkwanja mrefu kiiivyoo ahh wapi...jipange tu bob,,,kula vidude vako vya hatari mambo ya kina Ralph lauren lui v gucci ,,,mnyamwezi unanoga alafu unanukia mbaya madafu yametuliaaaaaaaa. upepo mtamu tu unampitia mtoto puani alafu hauna habari mikausho mikali ,,, unamtoa mtoto mara moja moja viwanja kama dinner ivi. kwa mfano unajitutumua sea cliff uko coral bich cjui mara umemsaplaiz na kizawadi kipochi cha. fendi cjui mcqueen vitu vidogo km ivo ata km unamfata na duet au vitz akyamama achomoki...jizee kmamake ata likija kumfata na cruiser yake mkonga cjui kilimo kwanza litaishia kupigwa hela tu.

sasa we kichaa wangu geto lenyewe unaloishi alieleweki kmamake geto linanuka miguu hatariiii duh plus kwapa plus p..umbu mara alufu ya jiko la mchina dagaa vitunguuu yani km jehanamu ya saba mtu akiingia kmamake floor imepasukapasuka sista duu atakanyaga wapi na supra zake jamani ..kitanda chenyeww kinatisha shuka limechoka mpk limekuwa km na vichengachenga flani bob,,,,we mwenyeww utanashati wako bonge la sharo kmamake km tozi wa mbagala au bitoz nyangema vile umepania kiboya mpk unauzi yani unaonekana confidence hauna ata aaaarrrghhh ebu achana na watoto. wakali tuachie wanyamwezi

MHM! matumbo
avatar48016_3.gif
 
Kila jambo na wakati kama umri huo ulikupita kwa sasa tafuta mke utulie usijetesa familia bure maana wana addiction hao,hawaishi na ukianza tu ndo utaanza sasa kuweka criteria utafikia sasa kuanza mzuri ila awe nurse,ukipata utataka mwalimu ukipata,askari,yaaani ukimaliza kada utaanza race!!!!!!!

Utataka mzuri msomi,ukipata utataka mwenye pesa ukipata utataka mwenye madaraka yaaani ni nusu ya uchizi bado shape na height!!!!!!
 
Excel mbona wanitamanisha hiyo mihela halafu mie nna shidaje ya hela hapa

sasa mtot mzuri.. mambo kama hayo, hutakiwi kusema kwa sauti hivyo bana!

just nearby my ear! you say, switie..! can you please do this..?

then i do without a question! you get me?
 
Sidhani kama huwa ni kukomoana ila kila mtu huwa anafurahia sasa kinachotokea kwako nadhani huwa ukikojoa(ukifika) kielelni mara1 unaridhika kabisa na unakuwa hutaki tena wakati mwenzio akiwa bado anataka.

mi mla ugali kabisa,lakini mambo ya kukomoana kitandani noo,
 
kwanza we nifara.piri wewe n sura mbaya.tatu wewe hauna pesa.nne wewe n domo zege.tano wewe umezoea kukanyaga house girl.sita wewe ndio maisha uriyo chagua ha ha ha ha..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom