Nawaogopa wanawake wazuri, tatizo sijui nini?

Kujiamin tuu chaliii, kuwa smart, PingA mbishe za hela, jifunze kumilik vitu vizur, Jipende ww mwenyew. Utawapata wakutosha
 
Confidence is key kid. Grow some balls uone utakavyowapata. Halafu jua ya kuwa ukitaka kupata mademu wakali lazima uwe na mademu wakali. Women fall for that like domino.
 
Mimi nikiona mwanamke mzuri akili inayo niijia ni ana ukimwi. Coz kila mtu anamtaka.
 
Pamoja na ujanja wangu wote ktk nyanja mbali mbali lakini linapo kuja swala la mapenzi nishindwa kujielewa sijui Kwanini Nawaogopa wanawake wazuri (Watanashati/ Warembo) Tangu nibaleh na kujiingiza na maswala ya mahusiano sijawahi kujipa ujasiri wa kusimamisha PINI na kuitupia vina. Sio kama siwataki hapa ukweli Nawaogopa sana wanawake wazuri. Wanawake wangu sikuzote ni wakawaida sana tena wengine kiukweli hawanifikii hata kwa hadhi (kuku wa kienyeji) Imefika wakati Rafiki zangu wananiita wa Mizoga kwa kupenda wanawake wabovu.

pasua kichwa mkuu hasa wale wanaojifil kuwa ni wazur.usijitafutie pressure mkuu.bora uendelee kujilia vijikuku vya kienyeji.
 
Aiseee hivi hawa mnao waita mizoga ni binadamu?

"Rafiki zangu wana niita wa mizoga"
 
Mi nadhani unaogopa gharama kwani kizuri ni gharama sana ndo mana unatafuta hiyo mizoga ambayo haijui kupiga pamba wala kuoga full kunuka kwapa na moshi!
 
hapa watakuwa wanazungumziwa wasichana...maana wanawake wana maamuzi yao...akikukubali anakutengeneza mazingira mwenyewe we utajikuta umeshakuwa naye bila hata kutongozana..
 
hahah,ukimwi HAUCHAGUI SURA MKUU..hv inakuwaje mvuto haupo af ndo unakuta ana ngoma?!!

Mimi akili yangu ndivyo inawaza. Hata nikimla kwa condom nakonda kwa mawazo wiki nzima sina aman. Ndo maana natulia tu.
 
duh!! hivi huwa mnadate na mwanamke hali ya kuwa unamuona ni mbaya?
 
Huo utafifi umefanywa zamani nakumbuka Miami beach aliwekwa msichana mrembo sana model vijana wanapita wanashindwa kum approach akatokea dingi ana bandage mguuni na baiskeli yake akasimama na kumsalimia utafiti ni kuwa ni woga tu ndio maana unakuta warembo saaana huchukuliwa na ugliest man fanya utafiti ukianzia warembo wa tz
 
kama huna ela, wanawake wazuri wote watabaki kuwa shemeji zako, pole sana kijana. kuna ishu ya EScape 1 tangaza dau kwa binti mzuri/mrembo gharama kwako hlf uone kama hujaenda kung'oa jino taratibu, maana litakuwa limeshalegea.
 
Pamoja na ujanja wangu wote ktk nyanja mbali mbali lakini linapo kuja swala la mapenzi nishindwa kujielewa sijui Kwanini Nawaogopa wanawake wazuri (Watanashati/ Warembo) Tangu nibaleh na kujiingiza na maswala ya mahusiano sijawahi kujipa ujasiri wa kusimamisha PINI na kuitupia vina. Sio kama siwataki hapa ukweli Nawaogopa sana wanawake wazuri. Wanawake wangu sikuzote ni wakawaida sana tena wengine kiukweli hawanifikii hata kwa hadhi (kuku wa kienyeji) Imefika wakati Rafiki zangu wananiita wa Mizoga kwa kupenda wanawake wabovu.

Una hela? Wanawake wazuri pesa kaka! Ungekuwa nazo wala usingewaogopa kwa kuwa wangekufuata wenyewe, wala hata usingejua wametokea wapi! Karim Benzema.jpg
 
kama huna ela, wanawake wazuri wote watabaki kuwa shemeji zako, pole sana kijana. kuna ishu ya EScape 1 tangaza dau kwa binti mzuri/mrembo gharama kwako hlf uone kama hujaenda kung'oa jino taratibu, maana litakuwa limeshalegea.

Hahahhaha mweleze ajue! Maana vitu vizuri mjini ni gharama sana. Sasa mtoto wa kike mpaka avae apendeze kila siku wanadhani pesa zinatoka wapi?
 
watajulia wapi hao, ndio maana wizi haushi maofisini, mtu anafikiria kumgharamia mtoto mkali, akiwa hana pesa weekend anaumwa, akaulize vilio vya washikaji walioporwa mademu zao kisa hawana kazi/pesa, wanamiliki wenye cash, mjini kwenyewe jua kali, foleni umpandishe mrembo kwenye daladala na joto la dar, watu full AC, kioo tinted ndani mziki nyororo, hata hujui kama kuna foleni, kama imezidi mwapaki pembeni mnafanya yenu.
 
duh!! hivi huwa mnadate na mwanamke hali ya kuwa unamuona ni mbaya?

maumivu ya kizidi, lazima ukimbie kwa daktari sasa unapata yoyote yule, hapo ndio balaa. unapiga game huku macho juu kama gwaride.
 
watajulia wapi hao, ndio maana wizi haushi maofisini, mtu anafikiria kumgharamia mtoto mkali, akiwa hana pesa weekend anaumwa, akaulize vilio vya washikaji walioporwa mademu zao kisa hawana kazi/pesa, wanamiliki wenye cash, mjini kwenyewe jua kali, foleni umpandishe mrembo kwenye daladala na joto la dar, watu full AC, kioo tinted ndani mziki nyororo, hata hujui kama kuna foleni, kama imezidi mwapaki pembeni mnafanya yenu.

Aisee ukiwa huna hela lazima tu uiambie akili yako iachane na kupenda wanawake wazuri! Kisha tafuta pesa, uwe nazo hao warembo wanakuja wenyewe tu. Hata kama ungekuwa domo zege!
 
Pamoja na ujanja wangu wote ktk nyanja mbali mbali lakini linapo kuja swala la mapenzi nishindwa kujielewa sijui Kwanini Nawaogopa wanawake wazuri (Watanashati/ Warembo) Tangu nibaleh na kujiingiza na maswala ya mahusiano sijawahi kujipa ujasiri wa kusimamisha PINI na kuitupia vina. Sio kama siwataki hapa ukweli Nawaogopa sana wanawake wazuri. Wanawake wangu sikuzote ni wakawaida sana tena wengine kiukweli hawanifikii hata kwa hadhi (kuku wa kienyeji) Imefika wakati Rafiki zangu wananiita wa Mizoga kwa kupenda wanawake wabovu.

low self esteem, hii inawapata wanaume wengi hasa wasiojiamini. Kuna jamaa hapa mkoani ninapofanya kazi anademu mmoja si mrembo sana ila anatako la ukweli ambalo mwanaume ambaye huwa anadata kwa issue kama hizi basi lazima akipita ugeuke utazame kidogo kama si kumsalimia pia. Sasa jamaa kakutana naye kama miezi 4 tu iliyopita dah jamaa anaweweseka balaa asione demu kasimama na mwanaume jamaa atatukana si mchezo na kutisha kuua kabisa. Sasa kwa jinsi demu alivyo disminder na anavyopenda kuchat na wanaume kuliko wanawake dah jamaa namwonea huruma sana, jamaa atakufa kwa pressure kama si kujiua kabisa coz ni mchaga. Kwa hiyo kama hujiamini basi ni vema ukachukua wakawaida coz hawa si macomprecator na watakufanya uwe na aman. Kumbuka demu akisifiwa mara mbili basi anajiona sana hivyo atakuzingua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom