Nawakumbusha tu kwamba kesho ni siku ya wajinga

Usiwe na waswasi siku hii ya wajinga inaendelea kujifuta yenyewe taratiiibu, huko nyuma ilikuwa mpaka kero lamina sasa unaweza kukaa siku nzima wala usijue leo ni siku ya wajinga duniani. Kufutwa ni ngumu ila maudhui ya siku hii yatabadilika sana siku zijazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa vema maudhui na namna ya usherekeaji ikibadilika ...am looking forward for days to come

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi MTU alinitumia msg ,mwenye namba hii kafa saa saba Leo,,nikaamini kumbe muongo. Kaniudhi sana
 
Mi labda nashindwa kutofautisha kati ya ujinga na kudanganya. Hivi mtu ukimdanganya alafu akadanganyika anakuwa mjinga? Mfano umpe taarifa mtu kuwa babake amefariki alafu mtu akubali wakati babaka hajafariki. Hivi huyu mtu anakuwa mjinga? Kwani kufariki si binadam yoyote anafariki. Neno sikukuu ya wajinga mi naona si sahihi. Sana sana katika hii siku naona watu wanaiashia kudanganyana tu. Hii ni siku ya kudanganyana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaahaaaa we jamaa una elements za ukoloni

From profile picture to proper future
 
Mi labda nashindwa kutofautisha kati ya ujinga na kudanganya. Hivi mtu ukimdanganya alafu akadanganyika anakuwa mjinga? Mfano umpe taarifa mtu kuwa babake amefariki alafu mtu akubali wakati babaka hajafariki. Hivi huyu mtu anakuwa mjinga? Kwani kufariki si binadam yoyote anafariki. Neno sikukuu ya wajinga mi naona si sahihi. Sana sana katika hii siku naona watu wanaiashia kudanganyana tu. Hii ni siku ya kudanganyana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna wakati hata mimi nilitaka kuja na uzi wa kuhoji hili.

Waswahili sisi tuna changamoto kubwa sana ya uwezo wa kufikiri, tumeshindwa kabisa kutofautisha kati ya ujnga na uongo.

Ujinga ni pale unapoambiwa jambo lisilowezekana na wewe bila kutumia ubongo unakubali, kwa mfano Mtu aje akwambie kuna mpango wa kuongezea vifusi mlima Meru ili uwe kama mlima Kilimanjaro n.k.

Na kama ni ujinga sidhani hata kama tunahitaji siku maalum ya kuadhimisha, maana siku zote huwa tunaishi kwenye ujinga wa kutisha.

Mfano lile suala la Babu wa Loliondo, yule jamaa aliyedai gunia limemganda kichwani, bibi wa Arusha eti aliyezuia basi lishindwe kuondoka n.k., yaani tuna ujinga mwingi tu.

Sasa Mtu anakuja na kukudanganya kwamba unaitwa na fulani, alafu ukienda ukarudi unamkuta anacheka mpaka ameshika mbavu, sasa hapo kati yenu mjinga ni nani kama sio yeye aliyekupotezea muda?
 
Nafikiri ni jinsi tulivyotafsiri neno fool katika Kiswahili. Wakati katika Kiingereza kuna tendo la ku fool (around)likimaanisha kumchezea/kumfanyia mzaha/ kudanganya, sisi tumewekea mkazo maana ya fool ya upumbavu/ujinga.
Tafsiri nzuri kwetu ni Siku ya mzaha/kudanganyana kuliko kuwa ya wajinga.

Mkuu nimekuelewa sana. Hii siku watu wanadanganyana tu hamna ujinga wowote hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri ni jinsi tulivyotafsiri neno fool katika Kiswahili. Wakati katika Kiingereza kuna tendo la ku fool (around)likimaanisha kumchezea/kumfanyia mzaha/ kudanganya, sisi tumewekea mkazo maana ya fool ya upumbavu/ujinga.
Tafsiri nzuri kwetu ni Siku ya mzaha/kudanganyana kuliko kuwa ya wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Mkuu,tumepoteza kabisa lengo na maana ya 'Wajinga'
 
  • Thanks
Reactions: Auz

Similar Discussions

Back
Top Bottom