kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,594
- 6,627
Ukisherehekea ujinga huo basi ujijue kiwa na wewe ni miongoni mwa hao wajinga.Tarehe mosi ya mwezi April ulimwengu huadhimisha sikukuu ya wajinga au ujinga ulimwenguni.
Tukitazama sikukuu ya MWAKA MPYA watu wengi wanaelekea kusherekea kwa kuwa wanaamini mwaka mpya...fursa mpya hivyo wanatumainia kufika hatua za nyayo za ndoto zao.na hata namna yake ya ushekeaji huweza kuashiria hivyo.
Tukitaza sikukuu ya Christmas watu huamini juu ya kuzaliwa kwa mwokozi wao ulimwengun hususan wakristo ..hivyo imani yao ni juu ya kuzaliwa kwa mwokozi kunaweza kuwaokoa kutoka madhambini.
Tukitaza PASAKA watu husherekea ufufuko wa yesu kristo kutoka umauti ambayo ni ishara ya kusamehewa kwa dhambi na kuanza maisha mapya ya uokovu.
Kwanini Sikukuu ya Wajinga? Hapa kuna maswali mosi juu ya namna wengi wanavyoisherekea kwa kutumiana taarifa na maarifa mbalimbali ambayo anghalabu hukinzana na ukweli au maadili ya jamii Kwamba JE tunasherekea kuudumisha ujinga au kuukomesha ujinga?
Pili ni JE kusherekea siku hii ni ujinga au hekima?
Karibuni katika tafakuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkoniNadhani wajinga ndio washerekeao[/color)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna haja ya watu kujiuliza maudhui ya Siku hii sio kusherekea tu kikasukuUkisherehekea ujinga huo basi ujijue kiwa na wewe ni miongoni mwa hao wajinga.
Kujitambua kisha kuchukua hatua stahiki sio namna hii siku inavyosherekewa kuwa watu wsnafurahia ujinga wao...hali inayowasababisha waudumishe ujinga badala ya kuutokomeza
Unahitaji kupuuzia vingi lakin ukipuuzia hili na kuendelea kufurahia ujinga utakuwa umeamua kuwa mjinga mileleMaswali kama haya huwa yanakuja unapoyachukulia maisha so serious.
Furaha, furaha, furaha!Maswali kama haya huwa yanakuja unapoyachukulia maisha so serious.