Nawakumbusha Tu Dada Zangu

Nawakumbusha Tu Dada Zangu

mkuu
Hongera kwa kupitia nguo zote...
Wengi huwa kama huyu dada wanaweza vaa hizo nguo lakini si kwa utaratibu maalumu.
wengine wameanza na 4 wakafata 1 ikafuata 2 na ni wachache walio fanikiwa kupata ya 3. Wengi wao wanaishia kuiota tu.
 
Mpangilio wa ujumbe nimeupenda sana... uko vizuri.
Ni kweli dada zetu wawe makin ..kwa sababu vishawishi ni vingi hapa mjin
 
Nafikiri hilo la nne ndo kama huwa linawekwa kitandani kabisa wakati wa gemu akiinuka tu paaaa! Analo.
 
Nafikiri hilo la nne ndo kama huwa linawekwa kitandani kabisa wakati wa gemu akiinuka tu paaaa! Analo.
 
mkuu
Wengi huwa kama huyu dada wanaweza vaa hizo nguo lakini si kwa utaratibu maalumu.
wengine wameanza na 4 wakafata 1 ikafuata 2 na ni wachache walio fanikiwa kupata ya 3. Wengi wao wanaishia kuiota tu.
Haha...kuna wanaokosa zote mkuu...ndiyo maana nimemsfu patience
 
TE="NIMPENDENANI, post: 18544767, member: 256779"]kho kho kho!!![/QUOTE]
mkuu, hicho n kikohozi au ndo kucheka🙂 km n kikohozi, bac dunia imeendelea maana,...watu wanakoholea mitandaoni🙂 aisee tumepiga hatua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom