Nawakumbusha kuwaombea watoto wetu maana siyo kila muda tupo nao karibu

Song of Solomon

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
2,733
5,490
Habari zenu wamajamvi poleni kwa malezi

Nahitaji kushare na nyie jambo moja. Kuwakumbusha kuwaombea watoto wetu maana siyo kila muda tupo nao karibu.

Tumetoka kuzika binti wa darasa la kwanza, amefariki baada ya kukaa na condom ndani kwa muda mrefu ikampelekea kuoza hadi umauti kumkuta. Niwape story fupi mama wa binti anafanya biashara amejiajiri. Huwa anaamka anawaandalia watoto wake chakula vzuri ili wakitoka shule wale. Anafanya shughuli za nyumbani anaondoka huyo binti aliyefariki ni binti yake wa mwisho kwa hivyo akaona haina haja ya mfanyakaz kwasababu wakitoka shule wanaongozana wote binti dada yake na kaka yake. Hapo wanapoishi wamepanga kuna wapangaji wengine sasa kuna ile style ya kumuambia mtoto msalimie uncle au aunt au babu au mama mkubwa nadhan mnanielewa lakn unakuta siyo ndugu. Basi yale mazoea ya uncle uncle yamempelekea mtoto kifo chake.

Kumbe uncle alikuwa anamuingilia mara kwa mara kwa kutumia condom. Bila mtu yeyote kujua nadhani pia alikuwa anamkataza kusema. Mkumbuke muda huo mama yupo kwenye biashara zake binti yupo na ndugu zake nyumban wakitoka shule au hata weekend. Kile kitendo kikawa kinafanyanyika mara kwa mara anampatia pipi akirejea nan kakupa uncle flan basi siku hiyo uncle kalewa kaja kama kawaida yake kamuingilia mtoto condom ikatoka ikabakia ndani yule mtoto haelewi na uncle pia pombe kichwan hajitambui.

Akamaliza yake akamuambia nenda sasa baada ya hapo mtoto anamuambia mama tumbo linauma mama anampa flagyl linatulia ikaenda miez na miez uncle hakuacha hiyo tabia lakin akawa kila akiingia kwa uncle akitoka dada yake anamuuliza mbona ulikuwa unalia kanajibu shiliii unajua tabia za watoto. Basi miez ikaenda uchafu ukaanza kumtoka chini dada yake akiwa anamuogesha anaukuta akamuambia mama. Mama ndo kumchunguza vzuri kukuta mtoto ameharibika kumuuliza kumchapa akasema mama uncle mama wa watu akazimia kwanza ss kile kitendo cha kumchapa mtoto akachemka ndo kumkimbiza hospitak.

Doctor akafanya vipimo akakutwa ndani kaoza process za matibabu zikaanza lakini haikuwa riziki alikaa siku tatu hospital akafariki. Uncle amekamatwa yupo police. Lakin pamoja na yote mtoto ndo tumempoteza. Nawaomba wazazi wenzangu tuwe na tabia ya kuwakagua watoto wetu siyo wa kike wala wa kiume dunia ya sasa imeharibika hata uwe busy kiasi tenga siku ya kumuogesha umkague huku ukimpa somo japo wengne wadogo hawataelewa lakn pia tuwaombee jamani.
 
Rest in Eternal Peace Sweet Angel

Jana niliona kwenye habari baba kubwa jeusi na mtambi kama furushi la mwizi linasema "ukatili dhidi ya watoto na wanawake umeisha, sasa umekuja ukatili wa wanaume"

Nikajiambia peke yangu "hii gender ingepewa ukoma yote ikawa itameguka kidogo kidogo"
 
Rest in Eternal Peace Sweet Angel

Jana niliona kwenye habari baba kubwa jeusi na mtambi kama furushi la mwizi linasema "ukatili dhidi ya watoto na wanawake umeisha, sasa umekuja ukatili wa wanaume"

Nikajiambia peke yangu "hii gender ingepewa ukoma yote ikawa itameguka kidogo kidogo"
punguza mihemko kakosea huyo uncle lakini hakuna maana ya kuangushia lawama kwa gender yote.
 
Wazazi wekeeni watoto uangalizi mzuri, na hizi tabia za kuchekelea vijizawadi wanavyopewa na watu baki sio vya kuendekeza maana watoto wengi wanadanganyika kwa hizo zawadi. Ni rahisi sana kumtumia mtoto kukuangamiza hata wewe kama sio yeye kupitia vitu vya kupewa.
 
Mh mtoto wa class 1 anamudu mkuyenge wa mtu mzima hebu acheni chai bana
Inawezekana mkuu,, kama alizoeshwa kidogo kidogo kwa vidole hatimaye dushe linapita tu usikatae,, tuwe makini na watoto wetu usiseme huyu bado mdogo haiwezekani acha ndugu kuwa makini sana,, usimuamini mtu yoyote juu ya mwili wa mwanao,,
 
Inawezekana mkuu,, kama alizoeshwa kidogo kidogo kwa vidole hatimaye dushe linapita tu usikatae,, tuwe makini na watoto wetu usiseme huyu bado mdogo haiwezekani acha ndugu kuwa makini sana,, usimuamini mtu yoyote juu ya mwili wa mwanao,,
Wanawake hebu mje mtueleze vizuri, viungo vya mtoto wa miaka 6 huwa vifupu ungeniambie maye be haja kubwa angalau naeza kuelewa ila papuchi ni big no. Huyo katunga hii habari ingeshasambaa mitandaoni sana tu hadi kwenye TV
 
Back
Top Bottom