Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

james delicious ni shoga sababu ya kulawitiwa na jirani yao

huyo jamaa alifungwa 30yrs, james amebaki kuwa shoga maarufu tz

msimpinge mtoa mada, most of gays fatilia wametokana na kuingiliwa na watu wa karibu
huyu yeye aliamua tu kuendelea kufir--- tu, je unajua watoto wangapi waliofanyiwa hivyo vitendo na wakaendelea kubaki bila kujihusisha na ushoga
 
Alichoandika mleta uzi ni sahihi kabisa. Unachosema hapa ni argument ambayo inalenga kutengua hoja ya mleta mada.

Mimi nina ushahidi pia na studies zaimeshafanyika kuprove hiyo kitu. Ni kweli kuwa si kila homosexual au Gay anakuwa ni zao la moja kwa moja la childhood traumatic experiences kama za kufanyiwa molestation na sexual violence. But ni kweli kuwa most of watoto waliopitia childhood molestation especially males wapo likes by 100% kujihusisha na homosexuality especially kuwa gays kwa upande wa wanaume na lesbians kwa upande wa wanawake.

So yes, mleta mada yupo sahihi kwa asilimia 100%.

Na kwahiyo scenario ya jamaa muuza urojo napenda tu nikufahamishe kuwa pia ni contributing factor ya uwepo wa homosexuals especially Gays kwasababu mtoto wa kiume ambaye amefanyiwa molestation utotoni yupo likely kurudia the same thing kwa watoto wadogo kipindi akiwa mkubwa sababu its one of bad experience au category ya childhood traumas ambazo zina affect makuzi ya ubongo katika eneo la sexuality.

Asante.
Aya ya kwanza umesema mleta mada yupo sahihi kabisa, aya ya pili umesema ni kweli si kila homosexual ni zao la trauma.

Pedophiles as individuals ambao ni likely kufanya hizi molestation hawafanyi kwaajili ya sexual gratification tu they also do it as a display of power over their victim.

When this is done frequently inamfanya victim ajione helpless na aamini kwamba to wield such power na yeye atatakiwa kufanya same na alichofanyiwa. Kutokana na hilo it is very likely huyu mtu akawa malaya, pedophile and in a worst case scenario ndiyo tumepata watu kama Jeffrey Dahmer.

Kuna case study moja ya babu aliyekua akiwamolest wajukuu wake wawili, mmoja akawa anamuingiza uume kabisa na mwingine hamuingizi anaishia kumshika shika tu. Logically itakufanya uhisi ambaye aliingizwa ndiye aliharibiwa saikolojia kuliko aliyeishia kushikwa shikwa.

But, aliyeishia kushikwa shikwa alikuja kua malaya sana kwa kuamini kwamba 'I am not enough' ndiyo maana babu hakua akiingiza uume wake. So this lady alikua akicompensate kwa kulala na kila mtu. Am simply saying a trauma can't have same effect kwa kila individual.

Anayelawitiwa ana chansi kubwa ya kuja kua mlawiti kuliko kuendelea kua mlawitiwa.

as I pointed earlier, kwamba sex ni identity ambayo hua acquired, homo wengi hupatikana kwa kuaminishwa na kulearn. So mtoto wa kiume akiaminishwa yeye ni Ke kuend up as Ke haiwezi kua ajabu. Kama uliwahi angalia mahojiano ya Zamaradi na shoga aliyejiita kaoge jinsi gani aliingia huko utakubaliana na nilichoandika.

Shukrani.
 
alilawitia na muhusika alipigwa nyundo 30 acha ubishi
Tunaweza kuipata wapi hii kesi? Na sisi tuisome.

Inahitajika mtoto alawitiwe kwa kipindi cha muda gani ili awe shoga?

Akishakua shoga akianza kufanya mapenzi na mwanamke itamchukua muda gani kua rijali?
 
Umetumia aya ndogo kuconclude mada nzima. This is poor comprehensive reading mkuu. Unatakiwa uelewe maudhui ya mwandishi kwa ujumla wa habari yake ili hata akiwa bad writer uweze kumuelewa as a skillful reader.

Anyways. Jifunze kusoma mwanzo hadi mwisho kisha fikirisha kichwa chako kutokana na kila detail. Sio unachukua kijisehemu cha aya ya habari nzima then unakitumia kujenga hoja ya kubatilisha the whole text and its context.

Improve.
Mkuu nimesoma mwanzo mpaka mwisho. Nilicho argue hapo ni wazo kuu la mada (kulawitiwa kama chanzo cha ushoga) kwa hao watano alotafiti. Ndo maana nimeshauri aende hata fb kule wako wengi zaidi.
 
Hata mm kwa reseach yangu ndg nliyoifanya kati ya mashoga 10,8-9 walinyanyaswa kingono wakiwa wadogo tena bahati mbaya na watu wao wa karibu.1-2 wameingia huko kwa kua influenced na mazingira
 
Kama jamii tunapaswa kuanzia hapa ili kuwalinda watoto wetu chini ya miaka 18..

ukibainikia kulawiti kijana chini ya miaka 18 na ushahidi uko live, ni kunyongwa mpaka kufa kwa haraka...Huko majumbani ukijua ndugu yako ametenda huo uovu mripoti haraka hakuna kukaa na kuyamaliza msongesheni akanyongwe chap....mhusika aliyetendewa apewe matibabu na kuwa chini ya uangalizi ikiwa pamoja na counceling za hapa na pale..

Wale watu wazima walioamua kuingia huko, ni vyema wakapewa elimu juu ya watendayo na zisiwepo NGOs za kupromote na kuwaambia wajikubali sijui nini hapana...wahubiri misikitini na makanisani wahubiri juu ya ubaya wa hayo matendo..na jamii nzima iwakatae baada ya kuwapromote...
Hii ndio njia pekee iliyobaki.
 
Kuna uthibitisho wa picha za miaka ya 1900s wanawake kwa wanawake wakioana.

Sidhani kama kuna uhusiano wa moja kwa moja wa kua shoga na kulawitiwa kwa lazima. Hii ni kwakua hata katika video za juzi tumeona jamaa akiwekwa ila alikua amedindisha.

Pia hatuna takwimu za watoto waliolawitiwa na wakawa mashoga, wala takwimu za ambao walilawitiwa na hawajawa. Hivyo madai yako ya kwamba waliopitia maisha ya kulawitiwa ni moja kwa moja wanakua mashoga sioni kama ni sahihi kwa 100%

Wakati nasoma shule ya msingi nilikua karibu na eneo linauzwa urojo watoto wengi waliingiliwa kwa kutaka kununuliwa urojo kiasi kwamba skendo ikawa kubwa jamaa akahamishwa na walimu wakatukataza kununua urojo.

Miongoni mwa ambao walikua ni case study ya wanaolawitiwa alikuepo dogo ambaye kwa sasa ni fundi makenika maarufu sana, ameoa pia. Ambacho katika saikoloji tunaweza kukithibitisha ni kwamba mtoto atakayepitia hizi sexual au physical abuse hukua akiwa na kinyongo na kujioverwork ili kucompensate yaliyowahi kutokea utotoni.

Hapa ndiyo tunakutana na mtu kama R. Kelly au Michael Jackson. Ila madai ya kwamba sexual abuse itasababisha uwe shoga nafikiri inahitajika kutafuta link ya uhakika.
Ni vema kuelewa concept ya mtoa mada kabla ya kutoa maoni
 
Back
Top Bottom