Nawahi sana kufika kileleni natokaje hapa?

Kuna Uzi hapa niliweka unahusu Afya ya uume. Utafute.

1. Kunywa maji mengi kuanzia Lita 3 Kwa Siku.
2. Usile chakula Baada ya saa moja jioni.
3. Fanya mazoezi ya kukimbia, na Yoga.
4. Lala muda wa Kutosha sio pungufu ya masaa nane. Kwa afya usingizi wa saa 3:30-4:00 Usiku ni muhimu. Yaani lala mapema.

5. Acha kujichua
6. Kula chakula OG, hasahasa mchicha, nyama, maharage, pia matunda kama ndizo moja Kwa siku.
7. Fanya mazoezi ya pumzi, Hii mpaka awepo kocha wa kukufundisha
8. Usipendelee kuvaa nguo nyingi zinazobana, Acha makende wazi muda mwingi.

9. Ukifanya mapenzi, balansisha uume wako usiwe Mgumu sana.... Hii nakuandikia Uzi sasa hivi.
10. Usirelax ukiwa unasex, tumia energy kidogo.

Well said Taikon.
 
Mkuu kesi yako ndogo sana, kula matunda kwa wingi (matikiti maji na parachichi) wiki moja tu uje hapa ulete mrejesho

Mbegu za maboga ukikutana nazo usiziache pita nazo

Chukua asali lita moja changanya na vijiko vinne vya mdalasini na vinne vya tangawizi(vijiko vya chakula)

Kisha tumia kijiko kimoja asubuhi kimoja jioni

Hiyo ni tiba tosha kwa tatizo lako

Usitumie vyote hivyo kwa wakati mmoja

Mimi ratiba yangu kwa siku ipo hivi, asubuhi nakunywa maziwa ya moto na chapati mbili za jero jero(hii ni saa mbili asubuhi au saa tatu asubuhi)

Ikifika saa sita nakula matunda yale wanayofunga kwenye vikontena ila mimi namwambia aniwekee parachichi na tikitiki maji na nanasi basi(haizidi buku)


Ikifika saa nane na nusu au saa tisa ndo napata lunch yoyote ile


Mimi sijaoa kwa hiyo usiku naweza kula matunda tena kisha ndo nikalala


Hapa hata nikikaa mwezi mmoja bila sex ila nikikutana na manzi bao la kwanza si chini ya 30 minutes
 
Duuh
Mkuu kesi yako ndogo sana, kula matunda kwa wingi (matikiti maji na parachichi) wiki moja tu uje hapa ulete mrejesho

Mbegu za maboga ukikutana nazo usiziache pita nazo

Chukua asali lita moja changanya na vijiko vinne vya mdalasini na vinne vya tangawizi(vijiko vya chakula)

Kisha tumia kijiko kimoja asubuhi kimoja jioni

Hiyo ni tiba tosha kwa tatizo lako

Usitumie vyote hivyo kwa wakati mmoja

Mimi ratiba yangu kwa siku ipo hivi, asubuhi nakunywa maziwa ya moto na chapati mbili za jero jero(hii ni saa mbili asubuhi au saa tatu asubuhi)

Ikifika saa sita nakula matunda yale wanayofunga kwenye vikontena ila mimi namwambia aniwekee parachichi na tikitiki maji na nanasi basi(haizidi buku)


Ikifika saa nane na nusu au saa tisa ndo napata lunch yoyote ile


Mimi sijaoa kwa hiyo usiku naweza kula matunda tena kisha ndo nikalala


Hapa hata nikikaa mwezi mmoja bila sex ila nikikutana na manzi bao la kwanza si chini ya 30 minutes
Ntafanya ivi kaka...Mi dakika 30 nikizipata watakoma walah..Yule aisha wakala nampiga muunganiko 30+30=60 *****
 
Tena wewe kwa kuwa una kilo 92 komaa na matunda kwa wingi, hili tatizo sio kubwa sana kama utazingatia kula matunda na mboga mboga kwa wingi

Maana kama matunda kwa siku haiwezi kuzidi afu tatu

chakuzingatia wee nunua yale wanayofunga kwenye take away tu muombe muuzaji akuwekee mixer ya tikiti maji na parachichi

mimi hii order kila siku naletewa ofisini
 
Kula Makande ya kutosha kabla ya Game... Shushia na parachichi na maziwa ya mtiti kuku nusu na Samaki wanne kibua karanga mbichi na korosho malizia na Dona au Ugali wa Ulezi kisha piga funda mbili tatu za Juice ya ukwaju baada ya hapo kamatia Goma pekecha huo ulimbombo wako mpaka Moto 🔥 uwake
 
Dawa ya nguv za kiume ni bure tena unazo wewe mwenyew...
1. Acha kupiga nyeto
2. Acha kuangalia porno
3. Fanya mazoez ya mwili ×3 au zaidi kwa wiki
4. Kula matunda, asali, tangawizi na mdalasini
5. Ukiwa na mwanamke kitandani idanganye akili kwa kupeleka mawazo mbali kabisa wakat huo ukiwa unamchezea mwanamke sio chini ya dk10 hakikisha amefika kileleni kwa kumchezea

6. Ondoa hofu jiamini hata ikitokea umepiga bao la haraka (bao mponyoko) tuliza akili
7. Kuna mazoez ya kukaza msuli ya pumbu haya unaweza kuyafanya popote hata ukiwa ofisini unapiga story umelala au unatembea (nimesahau yanaitwaje kwa kizungu)
8. Mambo yote haya yatakuchukua sio chini ya siku 40-90 kuona matokeo chanya.

All in all achana na pombe na kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume kwasabab zitakusababishia ugonjwa wa moyo, presha na kifo cha gafla. Enzi za ujana nimepiga sana nyeto ila nina miaka zaidi ya 20 natombana sijawahi kupata tazo la kukojoa haraka.

Usiogope tatzo kama lako 80% ya wanaume wanalo ila hawajui namna ya kujitibu ni tatzo la kisaikolojia hivyo linahitaji ujisaidie binafsi kisaikolojia kwamba unaweza.
 
Tafuta bwawa

Hata DeepPond analijua hili

Wewe wakati unapiga nyeto ulikuwa hufanyi udambwi dambwi mbalimbali

Mimi nakumbuka kipindi napiga nyeto serious kuna wakati nilikuwa napiga mazoezi ya kupoteza hisia nitachezea dude mpaka linakufa ngazi baadae ndo naliruhusu liteme wazungu

Kuna wakati huwa nikishindwa kujizuia kumwaga haraka,nachofanya ile ndo tumeingia mchezoni navuta hisia sana na napizi haraka,nikishapiz navuta hisia tena na naendelea kupump mdogo mdogo dude linapata nguvu mpya tena ninaendelea kufurahia mbususu hapo ntaisugua mpaka ikome tena ikitokea ni bwawa nitaiburuza mno

iLa ni rahis kuunganisha goli kama unakula mbususu nyama nyama,ingawaje zaman nilipokuwa na umri wa 20 ya mwanzon nilkuwa na uwezo wa kuunganisha hata kwa kondomu
Matumizi mazuri ya punyeto.
 
Lete wete pwaah!
Lete wete pwaah!!
Meza ya nyuma!
Wape pwaah pwaah 😎
Hapo SI Pana faa🤣
 
Tumia hii dawa fupi
1)acha nyeto
2)fanya mazoezi hasa kegel exercise.
3)kunywa maji ya kutosha
4)kunywa chai ya tangawizi/viungo
5)kula parachichi asbh na jioni kila siku
6)punguza sembe na wali na pia kula mbogamboga
Hivyo vyote ukifanya ndani ya wiki utaleta majibu
Tukupe dozi ya pili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom