Nimecheka kwa sauti. Idumu JFUsipofanya mda mrefu mjegeje unajua mmiliki kafariki Sasa itachukua mda sana kuuaminisha kama bd upo hai
Ishi umu hapa mkuuKuna Uzi hapa niliweka unahusu Afya ya uume. Utafute.
1. Kunywa maji mengi kuanzia Lita 3 Kwa Siku.
2. Usile chakula Baada ya saa moja jioni.
3. Fanya mazoezi ya kukimbia, na Yoga.
4. Lala muda wa Kutosha sio pungufu ya masaa nane. Kwa afya usingizi wa saa 3:30-4:00 Usiku ni muhimu. Yaani lala mapema.
5. Acha kujichua
6. Kula chakula OG, hasahasa mchicha, nyama, maharage, pia matunda kama ndizo moja Kwa siku.
7. Fanya mazoezi ya pumzi, Hii mpaka awepo kocha wa kukufundisha
8. Usipendelee kuvaa nguo nyingi zinazobana, Acha makende wazi muda mwingi.
9. Ukifanya mapenzi, balansisha uume wako usiwe Mgumu sana.... Hii nakuandikia Uzi sasa hivi.
10. Usirelax ukiwa unasex, tumia energy kidogo.
🥂🥂Nina kilo 92..Umri miaka 29..Nina kitambi cha kufutia simu..
Ntafanyia kazi ushauri wako..Kuna Uzi hapa niliweka unahusu Afya ya uume. Utafute.
1. Kunywa maji mengi kuanzia Lita 3 Kwa Siku.
2. Usile chakula Baada ya saa moja jioni.
3. Fanya mazoezi ya kukimbia, na Yoga.
4. Lala muda wa Kutosha sio pungufu ya masaa nane. Kwa afya usingizi wa saa 3:30-4:00 Usiku ni muhimu. Yaani lala mapema.
5. Acha kujichua
6. Kula chakula OG, hasahasa mchicha, nyama, maharage, pia matunda kama ndizo moja Kwa siku.
7. Fanya mazoezi ya pumzi, Hii mpaka awepo kocha wa kukufundisha
8. Usipendelee kuvaa nguo nyingi zinazobana, Acha makende wazi muda mwingi.
9. Ukifanya mapenzi, balansisha uume wako usiwe Mgumu sana.... Hii nakuandikia Uzi sasa hivi.
10. Usirelax ukiwa unasex, tumia energy kidogo.
Nakubali kaka..Ishi umu hapa mkuu
Kingine, kuna ile technique unapiga pump ukianza kuhisi tu hisia za wazungu slow down, zikipotea endelea unakuwa kama unaanza upya hivi, hii unaweza tembea hata nusu saa.
Lakini for the long term treatment msikilize mkuu herikiel hapo juu[emoji3516]
Hahaha Kwenye sex niwaze Wafu Sawa mkubwa..Tatizo ni hizo kilo 92, hebu zipunguze kwanza.
Harafu endelea na mazoezi mepesi ,kutembea umbali wa nusu Saa,au kukimbia kadiri unavyoweza.
Muda wa bao,Kwa wastani ni dk 7, (kiafya) hizo ni nyingi sana kama mwanamke ameandaliwa vizuri na yeye akaonyesha ushirikiano.
Muda mrefu sana ni dk 30, hizo Sasa ni pale unakomoa malaya aliyekula fedha zako.
Vingine Sasa ni maswala ya saikolojia zaidi,..ukitaka kupiga bao, waza wanaokudai[emoji23][emoji23][emoji23]...,stimu inakata au inapungua unaanza upya,kama hudaiwi.,waza hata vifo vya ndugu zako waliotangulia[emoji24][emoji24] hapo utajikuta hata dk 20 zinaisha hujapiga bao...huku unabadilisha staili.
Hebu ishi humu,ukijumlisha na mawazo ya wadau hapo juu,hilo sio tatizo litaisha.