Chief maticha kibao wako streetWatanzania wenzangu nisiwadanganye kwa msoto niliopitia wa kukosa ajira serikalini tangu nimalize chuo ninawaheshimu sana waliosomea ualimu wengi sasa hivi wanakula tu mishahara yao mwisho wa mwezi.
Najuta natamani hata ningesoma ualimu labda maisha yangu yamgekua na afadhali muda huu ningekua nasubiri mshahara wa uhakika mwisho wa mwezi wenzangu waliokimbilia huko mambo yao sio haba
NB: Majuto ni mjukuuu
IFM social protectionUmesoma nini?
Nimejisajili kazi zetu hazitangazwi za social protectionchief maticha kibao wako street
wana kibao wnalamba asali utumishi nasio maticha .
usitegemee huruma ya mtu,jisajili ajira portal kula madesa utatoboa tu chief kikubwa utinge oral
So ulisoma utu protect lkn government imeshindwa kukuprotect..!Ifm social protection
Naumia napitwa mpaka na wadogo zangu wenye certificate za ualimu nyumbani saivi ni full dharauSo ulisoma utu protect lkn government imeshindwa kukuprotect..!
By the way usikate tamaa haijaisha mpk pumzi yako iishe,mkuu sahivi hakuna kubagua kazi mtaani kugumu sana haswa ukiwa huna chochote mfukoni!.. Anza kuweka mipango, mipango sio lazima uwe na hela weka mipango angalia wapi parahisi kwako kama unalikoneksheni limoja tobolea hukohuko komaa nalo mpaka kieleweke, angalau ukiwa unapata ya kulakula hivi utatuliza kichwa huku ukichakata other plan.
Maisha haya kizungumkuti sana
Tulia mzee baba jipangeNaumia napitwa mpaka na wadogo zangu wenye certificate za ualimu nyumbani saivi ni full dharau
Naumia naumia naumia
We jamaa🤔 umekosa namna kbs ndugu!! Tuliosoma posta ajira Sio kipaumbeleIfm social protection
Nimekosa kabisa nisingekuja hapa nduguWe jamaa[emoji848] umekosa namna kbs ndugu!! Tuliosoma posta ajira Sio kipaumbele
Tofauti na ulichosomea, una ujuzi gani mwingine 🤔Nimekosa kabisa nisingekuja hapa ndugu
Natamani kweli ningesomea ualimu tuu nipate mshahara wangu Kila mwisho wa mwezi na nikistaafu Nina mafao yangu ya uhakika.Kweli hii dunia haiko fair kabisa...wakati kuna wengine wanataka kuacha huo ualimu
Sina ujuzi mwingine Nina waza nikasomee tour guide lakini ada nayo changamotoTofauti na ulichosomea, una ujuzi gn mwngn [emoji848]
Msoto hupelekea kufikiri mambo makubwa zaidi kuliko anaeishi Kwa raha kisichomfanya mtu kuwa mkuu hata baada ya miaka mingi kisikufanye ujisikie vibayaWatanzania wenzangu nisiwadanganye kwa msoto niliopitia wa kukosa ajira serikalini tangu nimalize chuo ninawaheshimu sana waliosomea ualimu wengi sasa hivi wanakula tu mishahara yao mwisho wa mwezi.
Najuta natamani hata ningesoma ualimu labda maisha yangu yamgekua na afadhali muda huu ningekua nasubiri mshahara wa uhakika mwisho wa mwezi wenzangu waliokimbilia huko mambo yao sio haba
NB: Majuto ni mjukuuu
Achana nao mkuu we pambana mkuu tafuta mishe.Naumia napitwa mpaka na wadogo zangu wenye certificate za ualimu nyumbani saivi ni full dharau
Naumia naumia naumia
Achana nao mkuu we pambana mkuu tafuta mishe.Naumia napitwa mpaka na wadogo zangu wenye certificate za ualimu nyumbani saivi ni full dharau
Naumia naumia naumia
Kwa ushauri wangu jitahidi usomee hata driving inachukua miezi miwili au mitatu, huwezi lala njaaaSina ujuzi mwingine Nina waza nikasomee tour guide lakini ada nayo changamoto