- Thread starter
- #21
hapana simuombei chuo tofauti.Jambo jema sana ulifanyalo Mkuu rennesha ukiachilia mbali kuwa ni fursa. Natumai wanafunzi wenyewe huchagua kozi na vyuo wavitakavyo ili wewe uwasaidie kuwaombea. Lakini, itakuwaje endapo wewe ukimuombea chou tofauti au kozi tofauti na aliyoitaka mhusika? Kila la heri Mkuu!
Ni tunashauriana na huyo mwanafunzi aseme kozi gani, chuo gano anataka then namfanyia application.