Nawafanyia application za chuo wanafunzi

Nawafanyia application za chuo wanafunzi

rennesha

Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
63
Reaction score
38
Wale wanafunzi waliomaliza form 6 na wanaotarajia kuingia chuo (degree)mwaka huu nina habari njema kwenu.

Nipo hapa nafanya kazi ya kuwasaidia kufanya application za kwenda chuo, unachotakiwa ni kunipa tuu taarifa zako muhimu kama email(ikiwa huna ntakutengenezea), namba za simu na taarifa zingine muhimu, kila kitu kilichobakia ntakufanyia mimi.

Uzuri mmoja teknolojia imerahisisha mambo,kwahiyo ntakapokufanyia application we mwenyewe utahakikisha hukohuko ulipokuwa, na tutakuwa tukiwasiliana kupitia whatsaap na message za kawaida vile vile ushuri wa bure kabisa kuhusu kozi za kusoma na chuo cha kuchagua ntakupatia..karibu sana

Mawasiliano. 0718274828
au
0789805698

Email:areachood@gmail.com
 
aisee mkuu hongera kwa wazo zuri, watoto wanapata sana tabu huko kwenye internet cafe,sema nina swali moja?

unamfanyiaje application mtu aliyekuwa mbali na wewe?
 
Inawezekana, nimewafanyia wanafunzi wengi mwaka jana mkuu, so usiwe na shaka, mshkaj yuko poa kwakuwa ni bonge la idea na fursa
 
Ila asipopata utatafutwa....
suala la kupata au kukosa chuo hutegemea na ufaulu wa mwanafunzi na ushindani uliopo kwenye kozi aliyoapply.

Kama atakosa huwa kuna round ya 2 ya kuchagua tena vyuo maana huu mfumo wa sahizi unaruhusu mwanafunzi mmoja kupata chuo zaidi ya kimoja kwahyo baada ya wanafunzi waliopata chuo zaidi ya kimoja kuconfirm wanaenda wapi basi nafasi hubakia kwa wale waliokosa vyuo.
 
Hongera sana mkuu kwa uaminifu wako maana mdogo wangu kaniambia umemkamilishia application udsm na Udom.

thank you Jf pia kwa kutoa avenue hii, maana sisi tuliomaliza zamano huu mfumo wa sasa kidogo ni ngumu hata kuwaelekeza madogo
 
ahsante boss.

kama una kijana/vijana wengine waambie nafanya hizo kazi utakuwa umenipa kiki sana mkuu, ndio kusaidiana hivyo.
 
ahsante boss.

kama una kijana/vijana wengine waambie nafanya hizo kazi utakuwa umenipa kiki sana mkuu, ndio kusaidiana hivyo.
ahahaha sawa sawa mkuu.

ntamwambia dogo awape namba wanafunzi wenzake maana sina tena ndugu ambaye anaingia chuo na ww jibrand hapa maana sio kwa spidi hyo, hata hamkuonana na dogo ila umemaliza.
 
Wale wanafunzi waliomaliza form 6 na wanaotarajia kuingia chuo (degree)mwaka huu nina habari njema kwenu.

Nipo hapa nafanya kazi ya kuwasaidia kufanya application za kwenda chuo, unachotakiwa ni kunipa tuu taarifa zako muhimu kama email(ikiwa huna ntakutengenezea), namba za simu na taarifa zingine muhimu, kila kitu kilichobakia ntakufanyia mimi.

Uzuri mmoja teknolojia imerahisisha mambo,kwahiyo ntakapokufanyia application we mwenyewe utahakikisha hukohuko ulipokuwa, na tutakuwa tukiwasiliana kupitia whatsaap na message za kawaida vile vile ushuri wa bure kabisa kuhusu kozi za kusoma na chuo cha kuchagua ntakupatia..karibu sana

Mawasiliano. 0718274828
au
0789805698

Email:areachood@gmail.com
wazo ni zuri sana, kuna mtu anauliza kulipia UDSM na UDOM system inasumbua je wewe unalipia kupitia mfumo upi?
 
mkuu kuna dogo mwingine nimekutumia PM namba zake zungumza nae mkuu
 
Jambo jema sana ulifanyalo Mkuu rennesha ukiachilia mbali kuwa ni fursa. Natumai wanafunzi wenyewe huchagua kozi na vyuo wavitakavyo ili wewe uwasaidie kuwaombea. Lakini, itakuwaje endapo wewe ukimuombea chou tofauti au kozi tofauti na aliyoitaka mhusika? Kila la heri Mkuu!
 
Back
Top Bottom