Ichangamkie fasta aisee....
Maana akifika Kaboom au Paulo Sergio De Souz watapeperusha huyu ndege.....
Ha haa naona ushakuwa kuwad mkuu...
Badala ya kumsaidia huyu bint
Makosa yapo ya Kucheat Lakini Sidhani kama mwanaume anaweza kucheat bila kuwepo na Sababu. Ukiwa Upo kwenye Mahusiano dhabiti na Yenye kuheshimu utu na uthamini Juu ya Hisia Ulizo nazo juu ya Mtu Uliyenae, Huwezi Kumsaliti.. Lakini Kusema namuheshimu tu sio sababu ya Kumfanya Asikucheat.. Mwanaume Anahitaji Zaidi Ya Heshima... Kama Huamini Jaribu ww kumuheshimu tu Paulo Bila Mambo Mengine Uone kama patakuwa na Uaminifu. Huwezi kuishi katika uhusiano kwa Mazoea Kila siku lazima uwe mpya ili Kudumisha Maoenzi Yako. Mwanaume hawezi kucheat Kama Unamtosheleza kwa Kila kitu Sio kumuheshimu tuWeeee there is no justification for cheating. Na siamini kwamba Kila mwanaume anayecheat ni kwa sababu mwanamke kakosea. Mahusiano kama hayaendi unavyotaka basi toka, ukicheat. Na kuna wanaume hata akidate malaika atamcheat tu. Afu sielewagi mnavyoconclude kuwa mwanaume akicheat tu, basi mwanamke ndo kakosea, nyie kwenye mahusiano hamkoseagi? Ni malaika nyie?
Pole, ila kuna sababu inayomfanya achepuke...sio bure.
Pia umeongelea upande wako tu,labda naye ana malalamiko yake.
Sababu kubwa huwa ni tamaa ya ngono tu fullstop, msisingizie vingine.
Saa zingine hata kero za mwanamke zinasababisha.
Hicho ni kisingizio tu mnachotumia kujustfy huo uzinzi wenu, hizo kero wewe kama mwanaume umeshindwa kudeal nazo? Hivi mnadhani nyie huwa hamtukeri eti? Nyie malaika mnooooo!! Hakuna justfication ya kusaliti maana yale ni maamuzi sio ajali.
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
Trusting a man is a luxury i can never ever afford, cha msingi naangalia yangu tu.
Kuna kero za wanawake hazivumiliki akyamungu tena...
Kwahiyo suluhisho lako ni kumsaliti?? Lame excuse.
Hivi kuna viumbe wana kero kama wanaume humu duniani!! Tena zile kero zenu ingekuwa ndio tunawafanyia sijui dunia ingekuwaje!!!
pole sana ila ongea nae kwa kina, wakati wa maongezi usiwe na hasira maana nae atakuja juu, ongea nae taratibu na umtolee ushahidi wote had aone aibu, kisha muweke mpango wa kumtoa kwenye tabia hiyo,kuna sababu kadhaa kama kufuata mikumbo, kwenda sehemu zenye wanawake wanaotega ili kuchuna, kuwa na mda usokua na kazi, nyumbani kuna migogoro n.k kwenye maongezi utagundua na mtaanza mpango wa kumsaidiainakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
Kwahiyo suluhisho lako ni kumsaliti?? Lame excuse.
Hivi kuna viumbe wana kero kama wanaume humu duniani!! Tena zile kero zenu ingekuwa ndio tunawafanyia sijui dunia ingekuwaje!!!
Teh teh kuna mtu alifanya hacking kwenye accout yangu...
Shem...
Wanawake hata biblia imewaagiza wawe wavumilivu...wao wakiruka ukuta inakuwa shida kubwa..