Pole,but kama kwel unahitaji upate ufumbuzi ili isiwe tatizo kwako,jichunguze kwanza wewe mwenyew,kitaalamu tunasema tumia internal locus of control kwenye maisha na matatizo yako,tafuta namna mtu asipate wazo la kutoka nje ya mahusiano,kwan wao wana nn ambacho we huna? Kwann alianza nawe sasa yupo kule? Any way take it,mwanaume ni kama mtoto unapomzuia asichezee hiki hakikisha umempa mbadala wa kuchezea!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
inakuaje mwanaume unamuheshimu, unampenda,unamthamini unamjali na hajawahi kukuta na mwanaume tofauti wala sms kwenye cm yako lakin unakuja kugundua anakucheat i think kuna baathi ya wanaume wanamapepo ya ngono hawalizikagi jitu linaumri wa kufanya mandeleo lenyewe linapata mda wa kumtongoza mtu mxxuuii...jamn kuna wakati wanatulaum wanawake lakin jmn kuna wanaume vimeo cjawahi kuona duuh
Yameisha mpenz maana hata yasipoisha kukuacha siwezi
hahaha nimecheka vibaya sana, yaani akaunti iko hacked kuna mtu ameandika. then baadae umeninukuu vibaya, nani aliye andika sasa aliye hack au subai
Nisaidie kushangaa ha ha haaa eti mapenzi upofu hamna namna... anidanganye tuu maana ukweli utaniumiza..
usimuache sumbai anakupenda cute b
Tena mbwa haswa hawafai kutetemekewa unaweza jikuta ukimwabudu yeye badala mola wakoMbwa ni mbwa tu, huwezi kumzuia mbwa kuwaza mifupa! ! Kwa maana kwa mtu malaya ni hulka yake hata apewe nini atajifutia sababu ya kuchepuka.
Kosa ni kuwaona wanaume kwamba ni watu wa maana mno kuliko wewe mwenyewe. Jipende usimwache mtu akakufanyisha vitu ukavuka mipaka eti ili asichepuke.
yees i am 100%je yeye ni mrs right?
kabisaaa wangu kitu nilicho gundua asilimia kubwa wanaume weng ndio wanafanya wanawake kubadilika tabia zoa among of them wao ndo source ya sisi kuchangewanakera mtu unampenda then anakua kimeo alaf yy ukimchit anakuja juuu khaaaa
kabisaaa wangu kitu nilicho gundua asilimia kubwa wanaume weng ndio wanafanya wanawake kubadilika tabia zoa among of them wao ndo source ya sisi kuchange
kabisaaa yaan naongana na nyinyi pia nashukuruni kabisaa nmejifunza vitu vingi kupitia fj kiukweli wanaume huwa wanatulalamikia sisi kwamba hatujatulia ila wao ndo wanatupelekea sisi kufanya umalaya kwa mtindo huu utaachaje kwa mfano unaweza msamehe ila anatakiwa ajijue tu hayupo pekee ake mbwaaaaa kabisa wenye tabia kama hiziTena mbwa haswa hawafai kutetemekewa unaweza jikuta ukimwabudu yeye badala mola wako
yaaan we acha tu ila naimani wao ndo wanatupelekea kuwa malaya ndo nilicho gundua jitu cjui linataka ulifanyie nini? mbwaaaa kabisaawanakera mtu unampenda then anakua kimeo alaf yy ukimchit anakuja juuu khaaaa
yaaan we acha tu ila naimani wao ndo wanatupelekea kuwa malaya ndo nilicho gundua jitu cjui linataka ulifanyie nini? mbwaaaa kabisaa
hahahhhahahahah ni bora hata angesoma boarding or mission angalau ningesema sio makosa yake lakin kasoma shule ya kajampa nani kama mapenz alianza yupo shule ya msingi nahis mi nahc ni hurka tu ya umalaya ndo tabia yaakeepole sana, usemalo lina ukweli, hasa kama mtu wako alisoma shule za mission....! au hata boarding. anakuwa hakutumia ujana vzr, na akaoa mapema , basi tongotongo zikimtoka na kuanza kuonja huyo hanaga brek, muombee dua MUNGU ATAKUSIKIA.
Pole kwa yaliyokukuta, kuwachukia wanaume sio suluhisho la tatizo......huna sababu ya kuwachukia, cha muhimu ni jifunze namna ya kukabiliana nao, maana wao wamekuwepo na wataendelea kuwepo bila kujali kwamba ni wazuri au wabaya, na pia wao ni sehemu ya maisha yako ya kila siku. Ukitafakari kwa kina utagundua kwamba huenda tatizo sio huyo mwanaume au wanaume kwa ujumla, bali ni namna wewe ulivyoweka matarajio yako kwake, unataka awe unavyotaka wewe. Mwanaume huyohuyo ambaye wewe unajiandaa kumchukia, kuna mahali anatakiwa sana, anapendwa sana, jiulize hii ina maana gani, jiulize wapi mnapopishana. Kilichopo ni kwamba matarajio na mitazamo yako na ya kwake imetofautiana, hivyo usijiumize bure, kaa chini jipange, jitambue unataka nini maishani, unataka nini kwa mwanaume. Ishi ndani ya misitari na misimamo inayoendana na wewe, usiishi kwasababu mwanaume anataka, asiyetaka kuendana na wewe mwambie samahani huo ndio msimamo wangu, haya ndio matakwa yangu. Kuna mahali hivi sasa kuna mwanaume anatafuta na anatamani sana kuwa na mwanamke mwenye sifa, matarajio na mitazamo kama yako. We ni kusonga mbele tu atakuja mwingine mtakalingana matarajio na mitazamo yenu na utaishi kwa amani, upendo na furaha, ila USIWACHUKIE WANAUME
sio saana ni hali ya maisha ya kila binadamu anapitiaPole, inaonekana yamekukuta mazito dada