joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,933
- 40,129
Hapo kwenye vicoba daah, usipokuwa makini kila wiki lazima mifuko ichanike,halafu akienda kuvunja vicoba humsikii basi akudanganye hata na soksi au leso unaona kimya.1kuna kamoja kamenitumia mssg muda si mrefu kanaomba hela ya vicoba

