Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

Na wengine hiyo ndio gia yao ya kuondowa usumbufu, unapigwa kirungu hurudi tena usumbufu unaishia hapo, siyo kila ukimuona mtoto wa watu yupo online tayari unademka, na wao wamepata njia mbadala ya kuondowa usumbufu.
Hahahahah demu hakwambii hakutaki! Unakula virungu mpaka unafuta namba mwenyewe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hahahahahaha dah hii dharau imezidi viwango
 
Hapa kitaa kuna machalii kama watatu walimtongoza demu mmoja na wote demu akawakubalia sasa ile tupo kijiweni tunapiga stori mmoja akatumiwa sms na huyo demu anaombwa elfu 5 tu , akatuonyesha ile sms Sasa Cha ajabu wale wana wawili walivyoonyeshwa wakashtuka mmoja akasema mbona na mm huyo ni demu wangu na kanitumia hiyohiyo sms tena hata hajaedit na shida aliyoniambia ndo hiyo hiyo, Mwingne nae akacheka tu akasema na mm nae ni manzi yangu kanitumia sms hiyo hiyo akatuonyesha[emoji1] ikabidi tucheke tu.

ila nimegundua sahiv mademu hawaombi hela nyingi ila wanaomba hela kidogo kidogo kwa wanaume wengi hapo inawezekana ana wengine pia kawatumia hiyohiyo sms tena anaforward tu wala haandiki nyingine mkimtumia buku 5 watu watano ana 25k kwa siku hawana tofaut na wale matapeli wa ile hela tuma kwa namba hii.
 
Hivi mnajua kwa watu ambao hawajawahi fika Arusha hawatoelewa hii kitu mnaita 'kulokota??

Jamani ni KUOKOTA na sio Kulokota.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… heheheh pisi ya chugga bana
 
Unaambiwa beby huyu si mwanao pia
 
Mkali wa single maza katika ubora wako..... Kudos mwamba pambania!!!
 
hahahahahaha
aim Lucha meeeen!
She is Queen of lies madafuck'n bitch go hell!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
(In Eddy Murphy voices)
 
Mkali wa single maza katika ubora wako..... Kudos mwamba pambania!!!
Issue siyo mkali wala mpole, mimi mbona naona mademu kibao tu wanaspend pesa zao na wanaume?

Au tatizo liko wapi? Kwanza mimi sipo kwenye mapenzi marafiki zangu tu wa kawaida wa kike wakiwa njema huwa wananipigia simu kabisa tukutane kwenye vijiwe vyetu vya kukemea uzee, halikadharika i do the same.
 
Acha kutongoza wanawake masikini wewe,upgrade your game!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…