Dr Ahmed Albah-Shahwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 1,130
- 2,219
R.I.P Hamza.
Ni kweli kabisa,ndani ya Jeshi la Police kuna police wengine ni wazuri tu,na wako katika maadili yao ya kazi hata uumpe Nini atasimamia ukweli,hata Kama anajua mwenzake ndiyo kavurunda bado atabaki kwenye haki tu! Na ushahidi ninao pia!!Tuache ujinga wa kulilalamikia jeshi la polisi kwa ujumla wake, hii inasababisha polisi Juma, polisi Asha, Polisi joni asiwe na hofu ya kutenda uovu maana atabebwa na jina la polisi kama taasisi.
Jeshi la polisi lina miongozo ya utendaji na maadili hivyo ubaya haufanywi na taasisi ya jeshi la polisi, ubaya unafanywa na mtu aliyepewa dhamana ya kuwa polisi.
Ww kariri mtu wako aliyekufanyia ubaya. Dili naye maana haishi sayari tofauti. Ikiwezekana mada ziwe polisi mawazo ali mwenye namba xxxx ni mla ruhwa, mbambikia kesi n.k n.k huku ukisifia wale unaoona wana msaada.
Hawawezi kukujua kama ni tabia yao na pia kitendo cha kuwatenga na umoja wao wa jina "POLISI" kitawagawanya na kuwafanya wajihoji kabla ya kufanya ubaya. Ukumbuke, hata wao kwa wao huko ndani sio kwamba wanapendana sana, kama wakigawanywa na wao watatafunana tu.
Baadhi ya polisi wanalalamikiwa kwa kubambikia watu kesi, ni kwamba mtu hajafanya kosa lakini anatengenezewa koso, labda mkuu, hayajakukuta.Dawa ni kuwahepuka kwa kufanya yaliyo mema machoni na mafichoni mwa jamii.
Tena sitaki wala sitakuwa karibu kwa namna yoyote na mtu polisi wa TZ! No watu amba hata kuwa na jirani polisi ni mkosi.Kwa nilipofikia Acha niwachukie tuu hawa viumbe wanaojiita polisi, sio polisi wa kwenye muvi namaanisha hawa polisi wetu wa Tz, yaani nawachukia sana.
Wamesababisha nianze kuishi Maisha ya kimaskini, sina hatia yoyote lakini walinikamata na kuning'ang'ania.
Hawakutaka kuniachia, hawakutaka kunipa dhamana, waliendelea kunishikilia wakinituhumu kwa mambo mazito ambayo sihusiki nayo.
Wameniachia muda ukiwa umeenda sana, wameniachia ni baada ya ndg zangu kuhangaika sana, Wameniachia kwa kunipeleka mahakamani na kunibambika kesi isiyo yangu
Nina maumivu makali sana juu ya uonezi walionifanyia polisi hawa...
Kwa nilipofikia Acha niwachukie tuu hawa viumbe wanaojiita polisi, sio polisi wa kwenye muvi namaanisha hawa polisi wetu wa Tz, yaani nawachukia sana.
Wamesababisha nianze kuishi Maisha ya kimaskini, sina hatia yoyote lakini walinikamata na kuning'ang'ania.
Hawakutaka kuniachia, hawakutaka kunipa dhamana, waliendelea kunishikilia wakinituhumu kwa mambo mazito ambayo sihusiki nayo.
Wameniachia muda ukiwa umeenda sana, wameniachia ni baada ya ndg zangu kuhangaika sana, Wameniachia kwa kunipeleka mahakamani na kunibambika kesi isiyo yangu
Nina maumivu makali sana juu ya uonezi walionifanyia polisi hawa...
Shemeji yako ndiyo aliamuwa kukupiga! Hahaha!!!Kuna siku nilipata ajari ya barabaran ikinihusisha mimi na boda
Lakin ili tumalize hyo inshu kwenye kituo cha polisi pamoja na kumpigia shemeji yetu wa kike ndo mkuu wa kituo nikajua tutayamaliza fresh lakin bado pesa ilihusika pamoja na kumuita shemeji,hapo ndo niliamin hawa watu sio wa kawaida
fresh tu man,hili neno kaanza kunambia bimkubwa kitaambo 80s na sijawahi pandwa na kisukari.Huna akili, kilaza.