Nawachukia sana Polisi

Nawachukia sana Polisi

Tuache ujinga wa kulilalamikia jeshi la polisi kwa ujumla wake, hii inasababisha polisi Juma, polisi Asha, Polisi joni asiwe na hofu ya kutenda uovu maana atabebwa na jina la polisi kama taasisi.

Jeshi la polisi lina miongozo ya utendaji na maadili hivyo ubaya haufanywi na taasisi ya jeshi la polisi, ubaya unafanywa na mtu aliyepewa dhamana ya kuwa polisi.

Ww kariri mtu wako aliyekufanyia ubaya. Dili naye maana haishi sayari tofauti. Ikiwezekana mada ziwe polisi mawazo ali mwenye namba xxxx ni mla ruhwa, mbambikia kesi n.k n.k huku ukisifia wale unaoona wana msaada.

Hawawezi kukujua kama ni tabia yao na pia kitendo cha kuwatenga na umoja wao wa jina "POLISI" kitawagawanya na kuwafanya wajihoji kabla ya kufanya ubaya. Ukumbuke, hata wao kwa wao huko ndani sio kwamba wanapendana sana, kama wakigawanywa na wao watatafunana tu.
 
Jifunze kulipa kisasi aliyekufanyia ubaya mpe anachostaili aya mambo ya kumuachia Mungu yatakutesa maisha yako yote kama huwezi kumshtaki basi pigs komboraa alale kitandani afilisike kwa ugonjwa

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
Wapogoro sana usemi wao(GUTIRI WANDU MLUNGU KAPATALI).
 
nilienda nikaongea na maaskari fulani wakanipigie mkwara mwana fulani ambae aliniuzia simu mkononi ili asije akajaribu kunizunguka baadae, Ambao wanaelewa ujanja ujanja wa town wanaelewa... Basi bwana tumetoka pale tunafika sehemu husika anapopatika yule mwana kweli tukamkuta pale eti wakaenda kumvalisha pingu na mkong'oto wa maana (hapo nadhani ni kwa sababu dogo alikuwa mkorofi makabila ya Kaskazini si mnayajua)

Dah! binafsi sikupenda ila kwa kuwa niliwaamini wale askari niliona labda ndo techniques zao za kumuonesha userious jamaa.... He! wakam'beba mwana, bwanaee tunafika kituoni eti wananiambia nifungue jalada la kumshtaki jamaa kwa kuniuzia simu ya wizi nawaambia mbona sikuja kwa lengo hili wakanibadilikia eti kwamba nisipofanya hivyo msala wote wananigeuzia mimi...... Ikaenda vile though tulikuja kusolve lile suala mwana akatoka siku ileile ila alinilaumu sana, me nilimuelekeza tu kwamba lengo halikuwa kumfunga ila askari ndo wamenigeuka, Baadae nilikuja kugundua wale askari walikuwa na lengo waipige ile simu au wapige hela nyingi kwetu.

Nilijuta kuwapa ile kazi wale polisi kwanza walimuumiza sana mwana yule na ukizingatia wote bado vijana masuala kama yale ya kuvalishana mapingu tena dah! sikupenda kabisa... Wale me nilichukulia ni kama walinzi kwetu so nilihitaji tu wanithibitishie ulinzi pekee lakini baadae wanataka kuniingiza matatizoni zaidi, Vipi kesi ingefika mahakamani? Vp wazazi ndugu wa mwana yule wangenionaje mimi Dah!
 
Tuache ujinga wa kulilalamikia jeshi la polisi kwa ujumla wake, hii inasababisha polisi Juma, polisi Asha, Polisi joni asiwe na hofu ya kutenda uovu maana atabebwa na jina la polisi kama taasisi.

Jeshi la polisi lina miongozo ya utendaji na maadili hivyo ubaya haufanywi na taasisi ya jeshi la polisi, ubaya unafanywa na mtu aliyepewa dhamana ya kuwa polisi.

Ww kariri mtu wako aliyekufanyia ubaya. Dili naye maana haishi sayari tofauti. Ikiwezekana mada ziwe polisi mawazo ali mwenye namba xxxx ni mla ruhwa, mbambikia kesi n.k n.k huku ukisifia wale unaoona wana msaada.

Hawawezi kukujua kama ni tabia yao na pia kitendo cha kuwatenga na umoja wao wa jina "POLISI" kitawagawanya na kuwafanya wajihoji kabla ya kufanya ubaya. Ukumbuke, hata wao kwa wao huko ndani sio kwamba wanapendana sana, kama wakigawanywa na wao watatafunana tu.
As long as anayeyafanya hayo huyafanya akiwa na sare za jeshi la polisi na utambulisho pia wa jeshi la polisi maana yake ipo pale pale haijabadili kitu.

Na waswahili wanasema "samaki mmoja akiozaa......" Maana kama jeshi limeshindwa kusimamia maadili ya mtumishi mmoja wa jeshi simply jeshi zima limefail.

Unless ikiwa kama hujawahi kukutana na madhira ya hawa jamaa au wew mwenyew ni polisi huwezi kuelewa hasa nini anapitia na yaliyomkuta mtoa mada.

Binafsi polisi nawachukia maana yameshanikuta kwayo na nikafanyiwa dhulmati kwa uonevu wao
 
Kwa nilipofikia Acha niwachukie tuu hawa viumbe wanaojiita polisi, sio polisi wa kwenye muvi namaanisha hawa polisi wetu wa Tz, yaani nawachukia sana.

Wamesababisha nianze kuishi Maisha ya kimaskini, sina hatia yoyote lakini walinikamata na kuning'ang'ania.

Hawakutaka kuniachia, hawakutaka kunipa dhamana, waliendelea kunishikilia wakinituhumu kwa mambo mazito ambayo sihusiki nayo.

Wameniachia muda ukiwa umeenda sana, wameniachia ni baada ya ndg zangu kuhangaika sana, Wameniachia kwa kunipeleka mahakamani na kunibambika kesi isiyo yangu

Nina maumivu makali sana juu ya uonezi walionifanyia polisi hawa...
Hata Kenya kabla ya kuandika upya katiba yao, walikuwa hivi hivi!
 
Sio police wote ni washenzi wapo ambao wana utu na roho nzur uku kwetu mtu umbambikie kesi ati umchukue kwa pingu mambo ya kuchoreshana hakuna raia wa ivyo nishashuhudia wana kibao wanakataa kutiwa pingu mwisho wa siku askar inabidi akubali tu kuondoka na raia bila kutiana pingu ujue kutiana pingu ni kutiana mkosi mkubwa ktk maisha.

Katika kile kipindi cha uchaguzi unakuta mpaka asakar wanalalamika watawala wakae chini wayamalize tu coz wameshachoka kupelekeshwa kwenda kuonea watu.

Watu wenyewe nao wabishii kinoma yaani.
 
Inasikitisha mno kuwa tunaishi kwenye nchi ambayo sensitive issue kama hii inaishia kulalama humu JF, wananchi wa nchi nyingine wanafanikiwa wapi ambapo watanzania wanashindwa?,push backs zitaanza vipi na lini?,Hamza (rip)alionyesha njia baada ya kudhulumiwa ?,tuendelee kula mtori mifupa tutakutana nayo chini.
licha ya hamza, wewe unashaurije mkuu?
 
As long as anayeyafanya hayo huyafanya akiwa na sare za jeshi la polisi na utambulisho pia wa jeshi la polisi maana yake ipo pale pale haijabadili kitu.

Na waswahili wanasema "samaki mmoja akiozaa......" Maana kama jeshi limeshindwa kusimamia maadili ya mtumishi mmoja wa jeshi simply jeshi zima limefail.

Unless ikiwa kama hujawahi kukutana na madhira ya hawa jamaa au wew mwenyew ni polisi huwezi kuelewa hasa nini anapitia na yaliyomkuta mtoa mada.

Binafsi polisi nawachukia maana yameshanikuta kwayo na nikafanyiwa dhulmati kwa uonevu wao

Polisi akikufanyia ubaya mtoe kwenye mwavuli wa jeshi halafu mshughulikie kama yeye. Fatuma kama Fatuma na sio Fatuma kama askari polisi.

Kinyume na hapo hakuna tofauti na mwanamke anayesema wanaume wote ni mbwa kana kwamba amemwadhibu huyo mwanaume.

Halafu achana na upoyoyo wa kufikiri mwenye mawazo mbadala ni polisi au hajawahi kupambana na polisi.
 
Hawa jamaa waliwahi kunibambikia kesi ya kudhalilisha sana. Uzuri hiyo sehem hiyo, kuna cctv lakini pia kuna mtu alinisaidia connection fulani. Polisi, Polisi , Polisi
Hiyo koneksheni unaifisha..huo ndio usnitch wenyewe. Wengi hapa mbwa tu.

Kwahiyo unashindwaje kuwapa wenzako hapa mbinu. Mbwa wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom