Chiblak
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 693
- 945
Walinikamata wakanipeleka kituoni mfukoni nilikua na pesa kidogo sikukaa sana Kama nusu saa ndugu wakawa wamekuja kunitoa ....
Baada ya kutoka mali zote nilizokabidhi mapokezi ikiwemo simu, na vikorokoro vingine nilirudishiwa ishu ni kwenye hyo pesa wanatupiana mpira Mara anayo huyu anayo yule...
Nikasema siondoki hapa mpaka mnipe pesa yangu *****, wanaanza kunitisha Mara ooh muda huu defender la kwenda chang'ombe linapita litakuchukua,, nikawaambia hamna shida acha linipeleke.
Mzozo ukawa mkubwa mpaka mkuu wa kituo akasikia, akauliza shida nn? Nikamueleza akawaamuru kurudisha ile pesa. Wakajichanga changa wakanipa kumbe yalikua yameshagawana.
Nimetoka nakutana na huyo boya alienikamata(hakuwepo kipindi natolewa) ananiuliza "dogo wamechukua tsh. ngapi?" Nikamwambia 100k kumbe nimetoka kwa 20k akawapigia simu wenzake wanaanza kugombana eti ooh mnanizunguka mmemiambia imetoka 20k kumbe ni 100k..
Mi huyoo nikapita kushoto nikayaacha na laana zao...
Mama alisema ukiwa polisi ww si wa kwangu Tena Mara buku ukabebe zege.