Nawachukia sana Polisi

Nawachukia sana Polisi

Hiyo koneksheni unaifisha..huo ndio usnitch wenyewe. Wengi hapa mbwa tu.

Kwahiyo unashindwaje kuwapa wenzako hapa mbinu. Mbwa wewe
Nikitaja tu, itajulikana. Ila wale police hawatasahau kilichowakuta
 
pole sana. japo umeandika kama hadithi ambapo inakosa uhalisia. tungetamani kujua yafuatayo ....

1. ulikamatwa ukiwa unafanya kazi gani, ukahusishwa na kosa gani
2. ulibambikizwa kosa/makosa gani
 
nilienda nikaongea na maaskari fulani wakanipigie mkwara mwana fulani ambae aliniuzia simu mkononi ili asije akajaribu kunizunguka baadae, Ambao wanaelewa ujanja ujanja wa town wanaelewa... Basi bwana tumetoka pale tunafika sehemu husika anapopatika yule mwana kweli tukamkuta pale eti wakaenda kumvalisha pingu na mkong'oto wa maana (hapo nadhani ni kwa sababu dogo alikuwa mkorofi makabila ya Kaskazini si mnayajua)

Dah! binafsi sikupenda ila kwa kuwa niliwaamini wale askari niliona labda ndo techniques zao za kumuonesha userious jamaa.... He! wakam'beba mwana, bwanaee tunafika kituoni eti wananiambia nifungue jalada la kumshtaki jamaa kwa kuniuzia simu ya wizi nawaambia mbona sikuja kwa lengo hili wakanibadilikia eti kwamba nisipofanya hivyo msala wote wananigeuzia mimi...... Ikaenda vile though tulikuja kusolve lile suala mwana akatoka siku ileile ila alinilaumu sana, me nilimuelekeza tu kwamba lengo halikuwa kumfunga ila askari ndo wamenigeuka, Baadae nilikuja kugundua wale askari walikuwa na lengo waipige ile simu au wapige hela nyingi kwetu.

Nilijuta kuwapa ile kazi wale polisi kwanza walimuumiza sana mwana yule na ukizingatia wote bado vijana masuala kama yale ya kuvalishana mapingu tena dah! sikupenda kabisa... Wale me nilichukulia ni kama walinzi kwetu so nilihitaji tu wanithibitishie ulinzi pekee lakini baadae wanataka kuniingiza matatizoni zaidi, Vipi kesi ingefika mahakamani? Vp wazazi ndugu wa mwana yule wangenionaje mimi Dah!
eti mkwarA
 
Nimeshindwa kutoa maelezo mengi kwasababu kesi bado ipo mahakamani
 
Polisi akikufanyia ubaya mtoe kwenye mwavuli wa jeshi halafu mshughulikie kama yeye. Fatuma kama Fatuma na sio Fatuma kama askari polisi.

Kinyume na hapo hakuna tofauti na mwanamke anayesema wanaume wote ni mbwa kana kwamba amemwadhibu huyo mwanaume.

Halafu achana na upoyoyo wa kufikiri mwenye mawazo mbadala ni polisi au hajawahi kupambana na polisi.
Ukifanya vitendo visivyo vya maadili chini ya mwamvuli wa taasisi ya umma bila shaka utakua imeichafua taasisi.
Naomba kufunga mjadala
 
Police kituo madale wajitafakari Sana kituo kipo chini ya mam mmoja ila waliopo chini yake Kaz zaoo Ni kubambikiza watu makesi

Askari wapelelelez wanna aribu kesi na ushahidi mwingi sanaaa
 
Kwa nilipofikia Acha niwachukie tuu hawa viumbe wanaojiita polisi, sio polisi wa kwenye muvi namaanisha hawa polisi wetu wa Tz, yaani nawachukia sana.

Wamesababisha nianze kuishi Maisha ya kimaskini, sina hatia yoyote lakini walinikamata na kuning'ang'ania.

Hawakutaka kuniachia, hawakutaka kunipa dhamana, waliendelea kunishikilia wakinituhumu kwa mambo mazito ambayo sihusiki nayo.

Wameniachia muda ukiwa umeenda sana, wameniachia ni baada ya ndg zangu kuhangaika sana, Wameniachia kwa kunipeleka mahakamani na kunibambika kesi isiyo yangu

Nina maumivu makali sana juu ya uonezi walionifanyia polisi hawa...
Dawa ni kuwahepuka kwa kufanya yaliyo mema machoni na mafichoni mwa jamii.
 
Kwa nilipofikia Acha niwachukie tuu hawa viumbe wanaojiita polisi, sio polisi wa kwenye muvi namaanisha hawa polisi wetu wa Tz, yaani nawachukia sana.

Wamesababisha nianze kuishi Maisha ya kimaskini, sina hatia yoyote lakini walinikamata na kuning'ang'ania.

Hawakutaka kuniachia, hawakutaka kunipa dhamana, waliendelea kunishikilia wakinituhumu kwa mambo mazito ambayo sihusiki nayo.

Wameniachia muda ukiwa umeenda sana, wameniachia ni baada ya ndg zangu kuhangaika sana, Wameniachia kwa kunipeleka mahakamani na kunibambika kesi isiyo yangu

Nina maumivu makali sana juu ya uonezi walionifanyia polisi hawa...
UA ALIYEKUBAMBIKIA
 
nilienda nikaongea na maaskari fulani wakanipigie mkwara mwana fulani ambae aliniuzia simu mkononi ili asije akajaribu kunizunguka baadae, Ambao wanaelewa ujanja ujanja wa town wanaelewa... Basi bwana tumetoka pale tunafika sehemu husika anapopatika yule mwana kweli tukamkuta pale eti wakaenda kumvalisha pingu na mkong'oto wa maana (hapo nadhani ni kwa sababu dogo alikuwa mkorofi makabila ya Kaskazini si mnayajua)

Dah! binafsi sikupenda ila kwa kuwa niliwaamini wale askari niliona labda ndo techniques zao za kumuonesha userious jamaa.... He! wakam'beba mwana, bwanaee tunafika kituoni eti wananiambia nifungue jalada la kumshtaki jamaa kwa kuniuzia simu ya wizi nawaambia mbona sikuja kwa lengo hili wakanibadilikia eti kwamba nisipofanya hivyo msala wote wananigeuzia mimi...... Ikaenda vile though tulikuja kusolve lile suala mwana akatoka siku ileile ila alinilaumu sana, me nilimuelekeza tu kwamba lengo halikuwa kumfunga ila askari ndo wamenigeuka, Baadae nilikuja kugundua wale askari walikuwa na lengo waipige ile simu au wapige hela nyingi kwetu.

Nilijuta kuwapa ile kazi wale polisi kwanza walimuumiza sana mwana yule na ukizingatia wote bado vijana masuala kama yale ya kuvalishana mapingu tena dah! sikupenda kabisa... Wale me nilichukulia ni kama walinzi kwetu so nilihitaji tu wanithibitishie ulinzi pekee lakini baadae wanataka kuniingiza matatizoni zaidi, Vipi kesi ingefika mahakamani? Vp wazazi ndugu wa mwana yule wangenionaje mimi Dah!
Wewe ni snitch sana

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Hata Mimi ninawachukia Sana naamini NAO wanatuchukia Kwa kiwango kilekile je,wewe unawachukia Polisi wote Nchini au wale waliokubambikia kesi? Inawezekana wapo wachache wasio na shida tufanye utafiti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom