Navy Kenzo is back, watoa ngoma Kali na Diamond

Navy Kenzo is back, watoa ngoma Kali na Diamond

[emoji23][emoji23][emoji23]woyooooo kituuuu poleee weee hahahahaha ngoja nikufundishe kufyonza fanya hivi mxiiiiiiiiiiiuuuuu mxiiiiieeeeewwwwwww ikikuuuma jitie doko
Hehehe iniume nini sasa na wewe.... subiri usiku ufike ukakojoe uliwe mambo na mumeo. Ikikuuma wanachelewa kawaulize inbox mfyuuuu
 
bonge la ngoma pia video kali japo mashairi yao makali sana..
 
[emoji23][emoji23][emoji23]woyooooo kituuuu poleee weee hahahahaha ngoja nikufundishe kufyonza fanya hivi mxiiiiiiiiiiiuuuuu mxiiiiieeeeewwwwwww ikikuuuma jitie doko
Bure kabisa wewe...... wacha ntulie zangu. Cha msingi ukiolewa wewe na wanaokuhusu inatosha. Umbea umbea na kufukunyua yasiyokuhusu uache... hovyooo, fanya background check ya ukoo wako kama wote wameolewa ndo uje hapa...... bure kabisa, reasoning kisoda. Nimemaliza
 
Povuuuu bwahahahahhaha umekuja motoo umeondoka baridi poleee ee hahahahahaha
Bure kabisa wewe...... wacha ntulie zangu. Cha msingi ukiolewa wewe na wanaokuhusu inatosha. Umbea umbea na kufukunyua yasiyokuhusu uache... hovyooo, fanya background check ya ukoo wako kama wote wameolewa ndo uje hapa...... bure kabisa, reasoning kisoda. Nimemaliza
 
Huyu aliyepiga gita, sijui nani utazani tupo Puerto Rico au Mexico.
 
Navy Kenzo hawapo WCB bali meneja wao ni Sallam SK

Navy Kenzo wako WCB swahiba walianza kujiweka kwa Sallam ila sasa ivi rasmi ni member wa WCB.
Nimeona hata Harmonize kasema hili leo baada ya hii joint kuachiwa.
 
Nahreel kafyeka, Aika kafyekaa, Diamond kafyekeleaa mbali...

NB: Navykenzo ni usajili mpya WASAFI
Hapana hakuna cha usajili hapo.

Navy Kenzo meneja wao mpya ni Sallam SK full stop haina mahusiano na WCB.
Jamaa ndiyo maana anajiita mendez.
 
Mbona huu wimbo kama wa diamond maana kafunika mbaya humu
 
Back
Top Bottom