Navy Kenzo is back, watoa ngoma Kali na Diamond

Navy Kenzo is back, watoa ngoma Kali na Diamond

Navy Kenzo sasahivi wamepartner na WCB wanafanya kazi pamoja kea kushirikiana Kuna kazi nyingine zinakuja
Watakuwepo pia kwenye wasafi festivour.
Ina maana wamewapiga chini fiesta.... dahhhh ndo wanapotea hivyo... hawawez pata promo ya clouds Fm tena
 
Acha kiherehere,kama post haikuhusu potezea,wenyewe wanaweza jibu au wasijibu. JF kubwa mfyuuuuu zako
Sasa mimi na wewe nani mwenye kiherehere mkuu haahaa ,kiherehere unacho wewe kuuliza watu wanaoana lini
 
Kuna wasanii naona wanasogea WCB na kuwatupa mkono clouds media taratibu mojawapo ni navy kenzo na Ben pol
 
Back
Top Bottom