Navy Kenzo is back, watoa ngoma Kali na Diamond

Navy Kenzo is back, watoa ngoma Kali na Diamond

Wasanii wengi wanataka gemu liiendeshwe kiproffessional (kibiashara) zaidi,lakini wao hawapendi kuheshim proffessional za maproducer.Maproducer wengi baada ya kuweka gharama mpya za utengenezaji wa biti na kutaka kila kinachoingia kwa msanii nao wao wawe na asilimia yao wasanii wamewakimbia,sio kwamba wamewakimbia sababu labda wameishiwa hapana,sababu wanataka issue ziende kibiashara.Mwangalie Pancho.Abby dady,Lamar,Maneck na Nareel,hichi ndicho kimemfanya Master Jay,P-Funk,Macko Chali kuacha kuproduce biti.

Nareel ni bonge la producer lakini baada ya kutaka vitu viende kibiashara zaidi WEUSI wakamkimbia,sasa wapo kwa S2KIZZY.Ila yote kwa yote hii bonge la club benga,Nareel kaua kwenye biti na Diamond kapewa lifti kaamua kupiga mpaka honi.
 
Kundi na couple maarafu East Africa Navy Kenzo baada ya kimya kirefu wakilea mtoto wao wamerudi na kutoa ngoma Kali wakimshirikisha mkali Diamond platnumz
Enjoy
Mond kafunika mwenye nyimbo.
 
Wasanii wengi wanataka gemu liiendeshwe kiproffessional (kibiashara) zaidi,lakini wao hawapendi kuheshim proffessional za maproducer.Maproducer wengi baada ya kuweka gharama mpya za utengenezaji wa biti na kutaka kila kinachoingia kwa msanii nao wao na asilimia yao wasanii wamewakimbia,sio kwamba wamewakimbia sababu labda wameishiwa hapana,sababu wanataka issue ziende kibiashara.Mwangalie Pancho.Abby dady na Nareel.Nareel ni bonge la producer lakini baada ya kutaka vitu viende kibiashara zaidi WEUSI wakamkimbia,sasa wapo kwa S2KIZZY.Ila yote kwa yote hii bonge la club benga,Nareel kaua kwenye biti na Diamond kapewa lifti kaamua kupiga mpaka honi.
Dah! Best comment
 
Navy Kenzo sasahivi wamepartner na WCB wanafanya kazi pamoja kea kushirikiana Kuna kazi nyingine zinakuja
Watakuwepo pia kwenye wasafi festivour.
 
Navy Kenzo sasahivi wamepartner na WCB wanafanya kazi pamoja kea kushirikiana Kuna kazi nyingine zinakuja
Watakuwepo pia kwenye wasafi festivour.
Nimeona kwenye post aliyo post Harmonize kagusia,nahisi hata Vanessa na Jux nao kama wanakuja huku huku.
 
Back
Top Bottom