Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mbona issue simple Sana, hebu Lete single detail za Mwaka fulani, ka ni 2023, 24 au 25.Hujui kama hujui shekhe
Una kosea mkuu, usi haribu ridhiki ya wengine ikiwa huku ijenga.Ninaipaka mavi biashara yake wateja waume kubwaaπββοΈπββοΈπββοΈ
Wewe simbilisi huna hoja! Na kuna Uwezekano hujui lolote kuhusu kinachotangazwa hapa ila kama ilivyo tamaduni ya raia wa aina yako "Usione Kichaka" Kupita mbali kwenye mambo usiyoyaelewa utapungukiwa na nini boss au ni lazima uzungumze kila mahali ili uonekane smart?Oya customer nyau hapa naomba ulete detail za revenue za Mwaka huu na sio Kwa miaka yote.
Hebu gusa hapo session ya 2024 au 2025 ili turahisishe biashara, au Jobless_Billionaire una semaje?
OkKila mmoja na Hobby zake mzee, pia lengo langu ni kupata cash sio kutoa msaada kwenye hii
Ohh kumbe ni win or lose situation?, basi mshindi wewe.Wewe simbilisi huna hoja! Na kuna Uwezekano hujui lolote kuhusu kinachotangazwa hapa ila kama ilivyo tamaduni ya raia wa aina yako "Usione Kichaka" Kupita mbali kwenye mambo usiyoyaelewa utapungukiwa na nini boss au ni lazima uzungumze kila mahali ili uonekane smart?
ww, siwezi kuuza kitu yangu kwa pumb** kama ww! Napenda heshima ya kwa ninachofanya na hata anaenipa hela yake kununua kitu kwangu aniheshimu na wote tuonane watu. Ni bora nikae na kitu yangu ndani kuliko kuitoa kwako Kwenda huko boya wwMkuu una niita nyau and you still want me to open my god damn fuvkin account!.
Hiyo estimated si ni ya jumla kwa Miaka kadhaa hapo, we Jamaa, huoni kwa mwezi Tena kwa Mwaka fulani ime simamia dollar ngapi kama high rate siyo Dolla 48 aisee.
Acha ujuaji mkuuWewe simbilisi huna hoja! Na kuna Uwezekano hujui lolote kuhusu kinachotangazwa hapa ila kama ilivyo tamaduni ya raia wa aina yako "Usione Kichaka" Kupita mbali kwenye mambo usiyoyaelewa utapungukiwa na nini boss au ni lazima uzungumze kila mahali ili uonekane smart?
Matusi sio muhimu sana bossww, siwezi kuuza kitu yangu kwa pumb** kama ww! Napenda heshima ya kwa ninachofanya na hata anaenipa hela yake kununua kitu kwangu aniheshimu na wote tuonane watu. Ni bora nikae na kitu yangu ndani kuliko kuitoa kwako Kwenda huko boya ww
Yeye hataki kujua hilo, kaanza ku attack Kama karogwaππAcha ujuaji mkuu
Kwa biashara anaoitangaza nadhani alitakiwa kuijazia nyama na kutoa taarifa za kutosha kuhusiana na bidhaa yake
1.Idadi ya subscribers
2.Masaa ya video zilizotazamwa
3.Mapato angalau ya awamu mbili mpaka tatu zilizopita
Na mengine mengi kwa ushahidi ikiwemo ushahidi wa picha ama video ili kuongeza imani kwa wateja wake
Online marketing sio ya kila mwenye simu/Pc bali kwa mwenye elimu na ujuzi wake....Yeye hataki kujua hilo, kaanza ku attack Kama karogwaππ
Sasa unge taka heshima usinge nitusi mkuu, au Kuna sehemu niliyo dhalilisha utu wako?.ww, siwezi kuuza kitu yangu kwa pumb** kama ww! Napenda heshima ya kwa ninachofanya na hata anaenipa hela yake kununua kitu kwangu aniheshimu na wote tuonane watu. Ni bora nikae na kitu yangu ndani kuliko kuitoa kwako Kwenda huko boya ww
Yaani nime omba detail za revenue payment za kila mwezi ana leta za miaka m3 ambayo ni ka dola 1000+.Online marketing sio ya kila mwenye simu/Pc bali kwa mwenye elimu na ujuzi wake....
Prezidaa inatosha mkuu nadhani nia yako imeshajulikana, kufanyiwa kazi ataamua yeyeSasa unge taka heshima usinge nitusi mkuu, au Kuna sehemu niliyo dhalilisha utu wako?.
Nili hitaji detail ili kuthibitisha, ambazo nazo ume shindwa ku offer. Una ishia kuanza kupayuka ka ume meza CD ya kwaya za kikatoliki.
My offer is still there, aki leta data hizo mkwanja upo namkaribisha.Prezidaa inatosha mkuu nadhani nia yako imeshajulikana, kufanyiwa kazi ataamua yeye
Acha ujuaji mkuu
Kwa biashara anaoitangaza nadhani alitakiwa kuijazia nyama na kutoa taarifa za kutosha kuhusiana na bidhaa yake
1.Idadi ya subscribers
2.Masaa ya video zilizotazamwa
3.Mapato angalau ya awamu mbili mpaka tatu zilizopita
Na mengine mengi kwa ushahidi ikiwemo ushahidi wa picha ama video ili kuongeza imani kwa wateja wake
Humu Jf ukijifanya malaika sana raia watakupanda kichwani, watu ni wengi na kila mtu na tabia zake, wenye huruma na vichaa na ukiwa unavunga mwisho utaonekana mlughalugha au unataka kuibia watu, si kila muda tuwe tunachekachekaMatusi sio muhimu sana boss
Dogo utaliaπ€£π€£Sasa mimi ni mtu mzima na heshima zangu na anajua nilikua nipo kwac jokes mkuu...ππππ ""We mbwa acha unafiki ππππππ"""" kwa sauti ya chini chini