Bro inakera raia wanakuja hapa ukiwauliza hata cpm, au rpm ni nini hawajui! Cha ajabu nao wanakuja hapa kutoa maoni mbalimbali ili hali hawajui hata hizo accont zinavyooperateKashakimbia..
Kiufupi kala chochoro na hapa nakuomba radhi mkuu baada ya ushaidi wote ule naomba nisamehe kama nimeonge lugha chafu yoyote huko.juu
Daaah mkuu kweli kabisa kutokana na evidence zako nimeona kabisa kuna shida mahali kwa sisi watu wa jf..Mtu anaetaka kununua hii hawezi kuja hapa atakuja inbox na kuniomba nimtumie data
Bro inakera raia wanakuja hapa ukiwauliza hata cpm, au rpm ni nini hawajui! Cha ajabu nao wanakuja hapa kutoa maoni mbalimbali ili hali hawajui hata hizo accont zinavyooperate
Wewe hutakiwi kusamehewa. Tena jamaa anatakiwa akunyee kabisa. Bora asamehewe yule aliyekula chochoroKashakimbia..
Kiufupi kala chochoro na hapa nakuomba radhi mkuu baada ya ushaidi wote ule naomba nisamehe kama nimeonge lugha chafu yoyote huko.juu
Sasa mimi ni mtu mzima na heshima zangu na anajua nilikua nipo kwac jokes mkuu...😂😂😂😂 ""We mbwa acha unafiki 😂😂😂😂😂😂"""" kwa sauti ya chini chiniWewe hutakiwi kusamehewa. Tena jamaa anatakiwa akunyee kabisa. Bora asamehewe yule aliyekula chochoro
Mkuu una niita nyau and you still want me to open my god damn fuvkin account!.View attachment 3341368
Haya nunua hapa tuone! Nyau ww, WAtakuja watu wanaotaka kununua kwa sababu ya watu kama wewe wanaona mimi mwizi acha utoto na ushamba.
Mkuu kuonyesha nili kuwa na lengo hilo, nili tuma screen shot ya post aliyo tumia kwa member Eyce ili tuji ridhishe na data fulani.Duhh mbona ume mua attack sana jamaa wakati alikua na nia njema tu
Kiongozi kiraza labda hukuisoma post ya kwanza ya Intelligent businessman vizuri ila mwamba alikutetea vizuri sana wakati ambao watu wote walikuwa wanakuattackMkuu kuonyesha nili kuwa na lengo hilo, nili tuma screen shot ya post aliyo tumia kwa member Eyce ili tuji ridhishe na data fulani.
Nashangaa ana niita nyau, Kuna mteja yupi ana toa hela kwa kuitwa nyau?
Oya customer nyau hapa naomba ulete detail za revenue za Mwaka huu na sio Kwa miaka yote.View attachment 3341368
Haya nunua hapa tuone! Nyau ww, WAtakuja watu wanaotaka kununua kwa sababu ya watu kama wewe wanaona mimi mwizi acha utoto na ushamba.
Jina lake Lina sadifu mawazo yake kichwani.Kiongozi kiraza labda hukuisoma post ya kwanza ya Intelligent businessman vizuri ila mwamba alikutetea vizuri sana wakati ambao watu wote walikuwa wanakuattack
Rudia post halafu umuelewe vizuri muache vita
Wala hamna vita, ali catch feeling kidogo tu 😆Kumbe kuna vita huku 😁😁
Huna ndugu wa karibu umuuzie?Nashindwa kusimamia zote nanazo zaidi ya 7
Kawaida tuWala hamna vita, ali catch feeling kidogo tu 😆
Rais wa Majobless humu ndani anadhalilishwa??Mkuu kuonyesha nili kuwa na lengo hilo, nili tuma screen shot ya post aliyo tumia kwa member Eyce ili tuji ridhishe na data fulani.
Nashangaa ana niita nyau, Kuna mteja yupi ana toa hela kwa kuitwa nyau?
Pastor hebu fanya maombiRais wa Majobless humu ndani anadhalilishwa??
Memba wako tumeumia sana😥😥😥
Tunaongozwa na Nyau yaani Nyau kweli😥😥
Ninaipaka mavi biashara yake wateja waume kubwaa🏃♂️🏃♂️🏃♂️Pastor hebu fanya maombi