Kwanini usiendelee kupokea hizo hela mwenyewe.Hello wakuu nauza youtube chanel imeshanilipa kipindi cha nyuma mil 1.7 ina monetization na subscribers zaid ya 11,000. Hivyo ukiinunua kuanza kuweka content na account yako ya bank na kuanza kulipwa mwezi unaofuata, bei yake ni laki 5 tu. Nicheki DM
Kwa nini usiendelee kula mahelaHello wakuu nauza youtube chanel imeshanilipa kipindi cha nyuma mil 1.7 ina monetization na subscribers zaid ya 11,000. Hivyo ukiinunua kuanza kuweka content na account yako ya bank na kuanza kulipwa mwezi unaofuata, bei yake ni laki 5 tu. Nicheki DM
Yani unauza laki Tano? Kwa mwezi ilikuwa inaingiza shingp? Alfu ungeweka hata picha hapo tuone🙄Hello wakuu nauza youtube chanel imeshanilipa kipindi cha nyuma mil 1.7 ina monetization na subscribers zaid ya 11,000. Hivyo ukiinunua kuanza kuweka content na account yako ya bank na kuanza kulipwa mwezi unaofuata, bei yake ni laki 5 tu. Nicheki DM
Mkuu unajua kweli hivyo vitu vinaendeshwaje laiti kama ungejua hata kidogo usingekuja na ujinga hapaKasema mpaka Sasa kapokea 1.7 sio kwamba ana pokea 1.7 kwa mwezi.
Malipo yana tegemea views za watazamaji, matangazo na factor za nyingine.
Mkuu kusimamia channel moja ya social network hadi ikuletee hiyo hela niliyokwambia ni kazi kubwa inayotaka focus, mimi nina channels nyingine ambazo nakomaa nazo, nashindwa kusimamia zoteJibu maswali kwanini hutaki kuendelea kupokea mahela we hamisi kiuno
Kwahyo utaki mahela hayo...Mkuu kusimamia channel moja ya social network hadi ikuletee hiyo hela niliyokwambia ni kazi kubwa inayotaka focus, mimi nina channels nyingine ambazo nakomaa nazo, nashindwa kusimamia zote
Kwa maongezi hlyako haya unaonekana hujui chochote katika youtube, ujumbe huu akiuona mtu anaejua youtube hawezi kuniuliza milele ataniuliza mambo nitakayojua hapa naongea na mteja, wewe kuna chance ya 99.9999 ni msumbufu tu hapa na mbabaishajiYani unauza laki Tano? Kwa mwezi ilikuwa inaingiza shingp? Alfu ungeweka hata picha hapo tuone🙄
Mimi naku tetea wewe una sema naleta ujinga, haya leta data ya hiyo account hapa iki onyesha malipo ya 1.7 per month.Mkuu unajua kweli hivyo vitu vinaendeshwaje laiti kama ungejua hata kidogo usingekuja na ujinga hapa