Nina trekta langu HP 55 ambalo ni 2WD aina ya NAM TRUCK made in China mwaka 2014 bei ni milioni 12 tu liko Ifakara
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Halina tatizo kabisa spea zinapatikana halafu zinaingiliana na baadhi ya trekta
sijui inawezekana mimi sijui lakini natamani uweze kueleza vizuri zaidi kuhusu ili trekta kwakuwa wengi wetu hatujui unaponunua trekta vitu gani vya msingi vya kuangalia. ipo tofauti kubwa ya kununua gari na trekta kwa kueleza vichache nitoe baadhi ya maelezo yanayoweza kujenga ushawishi kwa mteja.Nina trekta langu HP 55 ambalo ni 2WD aina ya NAM TRUCK made in China mwaka 2014 bei ni milioni 12 tu liko Ifakara
View attachment 1035331
Sent using Jamii Forums mobile app