Nauza Trekta

Sayeda

Member
Dec 23, 2018
26
3
Nina trekta langu HP 55 ambalo ni 2WD aina ya NAM TRUCK made in China mwaka 2014 bei ni milioni 12 tu liko Ifakara
IMG_20190224_165424.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina trekta langu HP 55 ambalo ni 2WD aina ya NAM TRUCK made in China mwaka 2014 bei ni milioni 12 tu liko Ifakara
View attachment 1035331

Sent using Jamii Forums mobile app
sijui inawezekana mimi sijui lakini natamani uweze kueleza vizuri zaidi kuhusu ili trekta kwakuwa wengi wetu hatujui unaponunua trekta vitu gani vya msingi vya kuangalia. ipo tofauti kubwa ya kununua gari na trekta kwa kueleza vichache nitoe baadhi ya maelezo yanayoweza kujenga ushawishi kwa mteja.
  • ni trecta la kisasa lipo kwenye hali nzuri na linafanyakazi vizuri likiwa na uwezo wa kulima ekari........ kwa siku sawa na ekari......kwa msimu wa kilimo.
  • linatumia vizuri mafuta ekari moja inaweza kutumia........ hivyo ikiwa ekari moja inaweza kulimwa kwa shilingi 30,000 kipo kipato cha kutosha kwa siku baada ya kutoa gharama za uendeshaji.
  • linauzwa likiwa na jembe,hallow tela kama vipo eleza.
  • jenga ushawishi kwanini trekta lako ni zuri kuliko mengine.
  • binafsi naona unauza bei rahisi ukilinganisha labda na matreka mengine waeleze kwanini unauza bei hiyo na kuwa wewe ulilinunua kiasi gani ili wakipiga uchakavu waone ndivyo linavyostahili kuuzwa.
  • waonyeshe pia unaweza kutoa msaada wa ushauri pindi unapohitaji bure au kwa gharama nafuu.
  • wahakikishie kuwa linaweza kuonekana na kukaguliwa.
yapo mengi lakini nafikiri ukijenga hoja zaidi linaweza kununuliwa kwa thamani uliyotaka.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom