Nauza Subaru Forester 1998 ina wiki mbili tu

Nauza Subaru Forester 1998 ina wiki mbili tu

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
3,505
Reaction score
6,439
Hello Wadau,
Nauza Subaru Forester 1998, Turbo, Ina wiki mbili tu imelipiwa kila kitu bado insuarance tu ina plate number na siti za STI naambatanisha na picha bei mil 12 but it can be negotiated iko kwenye hali mzuri sana aliye serious ani Pm au atume mail kwenye roughtee@gmail.com
 
Attachments

  • 03 (1).jpg
    03 (1).jpg
    34.7 KB · Views: 140
  • 3406180_1.jpg
    3406180_1.jpg
    26.5 KB · Views: 134
  • 3406181_1.jpg
    3406181_1.jpg
    25.7 KB · Views: 124
Hello Wadau,
Nauza Subaru Forester 1998, Turbo, Ina wiki mbili tu imelipiwa kila kitu bado insuarance tu ina plate number na siti za STI naambatanisha na picha bei mil 12 but it can be negotiated iko kwenye hali mzuri sana aliye serious ani Pm au atume mail kwenye roughtee@gmail.com

CIF $ 2200 ushuru umelipa 3.4 milioni halafu uuze 12m kama sio ujambazi ni nini....endesha mwenyewe
 
napenda gari lakini sio forester. Ukipata aina nyingine uni- PM mkuu.
 
CIF $ 2200 ushuru umelipa 3.4 milioni halafu uuze 12m kama sio ujambazi ni nini....endesha mwenyewe

Nahitaji ikwa atanihakikishia kama atalipa kodi kwa biashara hiyo.
 
mkuu mbona hizi picha ni za wakati ikiwa huko kwa mama yake? weka picha zake ikiwa hapa bongo,isijekuwa kwa hizo wiki mbili imeshakuwa used ya kibongo
 
mkuu mbona hizi picha ni za wakati ikiwa huko kwa mama yake? weka picha zake ikiwa hapa bongo,isijekuwa kwa hizo wiki mbili imeshakuwa used ya kibongo

hahahah hapana mkuu ipo tu bado sijaanza hata kuitumia bado haina insurance
 
Hivi bei ya Subaru Forrester iko juu kuliko Subaru Imprezza???
 
hujaelewa yani yeye anyo sasa ni wiki ya 2
"Yeye anayo sasa wiki ya pili" haitusaidii, gari ya 1998 ina miaka kumi na tatu!

Information ya wiki mbili inatuonyesha kwamba wamiliki wake wanabadilika badilika ovyo, wanabambikiana? Mwisho wa siku, gari haina wiki mbili, ina miaka kumi na tatu.
 
acheni kutuibia now tumeelimika! ...............................milion 12????????????
 
Back
Top Bottom