Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 3,357
- 10,379
Siko kwenye harakati Wala mambo ya siasa.Uwa hukosoi serikali sio mna kosoa serikali afu apo apo mna kuja kutangaza biashara
AminaPole sana mkuu, Mungu akufanyie wepesi.
Hili ndio tatizo, hutayaepuka mateso kama utaendelea kudhani mambo yanaendelea (siasa) hayakuhusuSio
Siko kwenye harakati Wala mambo ya siasa.
hapa sio sehemu muafaka wa maongezi ya namna hiyo unaharibu uziHili ndio tatizo, hutayaepuka mateso kama utaendelea kudhani mambo yanaendelea (siasa) hayakuhusu
Mimi ni critics wa hii rogue regime humu ndani, ni winga kariakoo na natangaza biashara humu mda wote.Uwa hukosoi serikali sio mna kosoa serikali afu apo apo mna kuja kutangaza biashara
Miaka mitatuPole sana na matatizo Sister Abigail. specification za simu ziko poa na bei ni karibu na bure ila hujasema umeitumia kwa muda gani?
Yanaweza yakawa yananihusu lakini Sina mda wa kujihusisha nayo.sio Kwa uoga Wala Nini Bali maamuzi binafsi.na busara yangu imeniomba niwe hivyoHili ndio tatizo, hutayaepuka mateso kama utaendelea kudhani mambo yanaendelea (siasa) hayakuhusu
Thibitisha kama simu ni yako.Nina shida guys,nimezodiwa mahitaji naumwa hata dawa aina Hela bado mengine
nauza simu yangu Infinix note 12 Kwa 140,000
Haina shida ila Ina crack kwenye kioo,ni kubandika protector na cover mpya basi.
Nipo Dar
Whatsapp +255760193578
Sina simu ya ziada kupigia picha ila ni kama uonavyo na pia specifications zake nimscreenshot kwenye simu yenyewe.
nina imani utapata msaadaMiaka mitatu
KariakooThibitisha kama simu ni yako.
Umenunua wapi ?
Hili ndio tatizo, hutayaepuka mateso kama utaendelea kudhani mambo yanaendelea (siasa) hayakuhusu
Tunaomba box na risitiKariakoo
Nthibitashej mfano yani.
Maana ndio ninayotumia hapa