The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,427
- Thread starter
- #21
Karibu sanaSewa na Jodari ni samaki wawili tofauti japo ni kama wanafanana (hao ni sewa sio jodari). Jodari ni mtamu kuliko sewa
Karibu sanaSewa na Jodari ni samaki wawili tofauti japo ni kama wanafanana (hao ni sewa sio jodari). Jodari ni mtamu kuliko sewa
Jodari ni tofauti,japo rangi na nyama zinafananaUnaweza ukamuita sewa au jodari
Kuna hatari Gani pale mkuu Kwan wanaenda kuliwa wabichiDuh hicho kibao au meza yako unayo katia hao samaki its 'awful' ungeificha ni hatari kwa afya zetu.
Mkuu cha plastiki ndiyo hatari zaidi. Bakia na hicho hicho cha miti. Wananzengo wasikutoe kwenye reli dah!Sijawahi kupata kesi kuhusu ubao.. ila asante kwa ushahuri, nitatafuta kile cha plastic
Hicho ndo hatari hizo plastic achana nae sio mnunuzi hakuna vimbao miti vinaingia sie walaji wa samaki kwa wapemba ndo vibao vyao unmkosha vizuri hana vimbaoSijawahi kupata kesi kuhusu ubao.. ila asante kwa ushahuri, nitatafuta kile cha plastic
Well understoodMkuu cha plastiki ndiyo hatari zaidi. Bakia na hicho hicho cha miti. Wananzengo wasikutoe kwenye reli dah!
View attachment 3353642
Mbona hizo ni damu za samaki na mabaki yake ? Ulitaka kibao cha samaki kiweje tofauti na kilivyo hapo?Duh hicho kibao au meza yako unayo katia hao samaki its 'awful' ungeificha ni hatari kwa afya zetu.
Hao ni Sehewa mkuu miongoni mwa samaki wabaya wa Baharini Jodari ni samaki Nzuri in English Tuna.Wakuu habari
Nina aina hii ya samaki Jodari wadogo.. Ni samaki mwenye stake nyingi kuliko miba.. Ni mzuri na ni mtam sana.
Kama upo hapa Dar, nakuletea mpka ulipo , gharama za usafiri inategemea mahali ulipo.
Bei ni 12000 tu, kwa mmoja
0616274277.
Napatikana Kigamboni
View attachment 3353575View attachment 3353576View attachment 3353577View attachment 3353578
SijakuelewaHao ni Sehewa mkuu miongoni mwa samaki wabaya wa Baharini Jodari ni samaki Nzuri in English Tuna.
Unaenda kumfakamia mbichi bila kumpika ama kumkaanga?Duh hicho kibao au meza yako unayo katia hao samaki its 'awful' ungeificha ni hatari kwa afya zetu.
Nitakutembelea nikuungisheWakuu habari
Nina aina hii ya samaki Jodari wadogo.. Ni samaki mwenye stake nyingi kuliko miba.. Ni mzuri na ni mtam sana.
Kama upo hapa Dar, nakuletea mpka ulipo , gharama za usafiri inategemea mahali ulipo.
Bei ni 12000 tu, kwa mmoja
0616274277.
Napatikana Kigamboni
View attachment 3353575View attachment 3353576View attachment 3353577View attachment 3353578
Nadhani zitakuwa hazina madhara hayoo,na ni sawa na vigogo vya butcher.Hizo 'chips' za ubao zina ingia kwenye nyama ya samaki wakati wa kukata kata huyo samaki.
Mdomo ulimponza kichwaDuh hicho kibao au meza yako unayo katia hao samaki its 'awful' ungeificha ni hatari kwa afya zetu.
Hao ni Sehewa mkuu miongoni mwa samaki wabaya wa Baharini Jodari ni samaki Nzuri in English Tuna.
Karibu sana mkuuNitakutembelea nikuungishe
Kwa huku zenji wanaitwa kanadi wanafanana na jodari lakini sioSewa na Jodari ni samaki wawili tofauti japo ni kama wanafanana (hao ni sewa sio jodari). Jodari ni mtamu kuliko sewa
Hebu achaneni na stori za yupi mtamu zaidi; mention the health benefits of each! Tuzingatie faida za kiafya zaidi kuliko utamu wa mdomoni.Sewa na Jodari ni samaki wawili tofauti japo ni kama wanafanana (hao ni sewa sio jodari). Jodari ni mtamu kuliko sewa