Nauza puppies aina ni bulldog

Nauza puppies aina ni bulldog

mzushi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
3,094
Reaction score
4,256
Nauza puppie aina ya bulldog .wamepata chanjo zote.Angalizo unawaona kwenye picha si wenyewe nimeshindwa kuchukua picha maana bado wachafu na mama yao mkali kidogo siwezi kuwagusa .bei inaanzia laki tatu na nusu.Karibuni
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    29.6 KB · Views: 333
nauza puppie aina ya bulldog .wamepata chanjo zote.angalizo unawaona kwenye picha si wenyewe nimeshindwa kuchukua picha maana bado wachafu na mama yao mkali kidogo siwezi kuwagusa .bei inaanzia laki tatu na nusu.karibuni

duuuh mambo ya siasa hayo.
 
duuuh mambo ya siasa hayo.
Utani wa nini kwenye biashara za watu kama unataka ni PM hutaki waache wanaotaka tufanye biashara bana..tusitiane umasikini hapa
 
duuuh mambo ya siasa hayo.

Ndio mkuu....ni kwa ajili ya kujilinda dhidi ya ccm!!

Mtoa uzi japokuwa umekosea njia hao wa kwako wana umri gani?! Kwa ajili ya usalama wako dhidi ya mama mbwa hebu tumia binoculars uchungulie kama kuna wa kike then unipm nione kama naweza kuikinga hii laki mbili yangu dhidi ya bia za weekend!!!! Serious
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nauza puppie aina ya bulldog .wamepata chanjo zote.Angalizo unawaona kwenye picha si wenyewe nimeshindwa kuchukua picha maana bado wachafu na mama yao mkali kidogo siwezi kuwagusa .bei inaanzia laki tatu na nusu.Karibuni

Yaani vimependeza sana isee!
 
Mkuu soma angalizo...hivyo kwenye picha vya kizungu...bongo mbwa ana blanket?!! Kwanza vya kwake mama mbwa ana asili ya chui jamaa hathubutu hata kuvisogelea..
Mkuu kwani si kasema vinafanana? Bongo kwanini kusiwepo mashuka, vitanda na foodie za pets? I believe vipo hivyo
 
Mkuu soma angalizo...hivyo kwenye picha vya kizungu...bongo mbwa ana blanket?!! Kwanza vya kwake mama mbwa ana asili ya chui jamaa hathubutu hata kuvisogelea..
Kwani mtoto wa kizungu akizaliwa Tanzania atakuwa mweusi kama wewe ,acha kuniharibia biashara bana ,mbona watanzania hatupendani .
 
Nauza puppie aina ya bulldog .wamepata chanjo zote.Angalizo unawaona kwenye picha si wenyewe nimeshindwa kuchukua picha maana bado wachafu na mama yao mkali kidogo siwezi kuwagusa .bei inaanzia laki tatu na nusu.Karibuni

weka picha ya mama yao mkuu
 
Mimi huyu mzushi ananifurahisha sana majibu yake. Kiteitei nimekumwagia malike

Ahsante amu..natumia simu siwezi rudisha...mzushi niko serious nahitaji jike kwani nina dume la germany shepherd
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom