Nauza pikipiki million 4

Mkuu una maneno makali daaa, ila haina noma, kila mtu hurithi tabia fulani toka kwa wazazi wake
 
Dah mna maneno makali
Njaa unayo.
Kama usingekua na njaa usingeuza 4m.
Ungesema mwenye chenji anipe nimpe pikipiki au ungempa jamaa yako anayepata shida ya usafiri, we njaa kali tu.

Nasubiri povu[emoji23][emoji23]
 
Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
utakuwa muhaya wewe, nani kaongelea shida?
ni suala kuwaelimisha wadau kwani wengi wanajua toyo na sio vitu vikali kama hivyo
 
utakuwa muhaya wewe, nani kaongelea shida?
ni suala kuwaelimisha wadau kwani wengi wanajua toyo na sio vitu vikali kama hivyo
Hawatoi nafasi ya kuelemishwa, it getting worse, more foolish they bcome
 
Hawatoi nafasi ya kuelemishwa, it getting worse, more foolish they bcome
wewe mgeni wa jf?
usitishwe na ujuaji wa humu.
utakuta mtu yuko kwenye chumba cha giza wee lkn anaporomosha madongo utafikiri ni mtoto wa Obama, kumbe choka mbayaa
 
wewe mgeni wa jf?
usitishwe na ujuaji wa humu.
utakuta mtu yuko kwenye chumba cha giza wee lkn anaporomosha madongo utafikiri ni mtoto wa Obama, kumbe choka mbayaa
Duuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…