Nauza pikipiki million 4

Nauza pikipiki million 4

Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
Njaa unayo.
Kama usingekua na njaa usingeuza 4m.
Ungesema mwenye chenji anipe nimpe pikipiki au ungempa jamaa yako anayepata shida ya usafiri, we njaa kali tu.

Nasubiri povu
 
Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
we boya fala sana tafuta vya kwako sio kutegemea kwa wazazi wako hapo unajiona huna shida
 
Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
Njaa unayo tena umepigika haswaa Lasivyo usingeiuza, ungegawa au ungehifadhi tu store.
Piki piki yenyewe ya kupewa, huoni aibu kuuza zawadi!?
 
kwenu au kwako unaanzaje kusema kwetu? lijitu lizima na mindevu yako
We fala mzazi mwenye busara huacha urithi kwa wanawe, we kama baba yako hajakuachia pole sana, aliye kuzaa ndiye mwenye jukumu la kukulea
 
Yan unakuja kutambia wenzako urithi? Pole sana kijana. Had nimekuhurumia.
 
hiyo pikpik mwenye akili timamu hata laki 5 hawezi kupa
 
Yan unakuja kutambia wenzako urithi? Pole sana kijana. Had nimekuhurumia.
Pole ya nini mbona akina manji, MO, wa merithi, ujinga ni pale mmezaliwa wawili, baba kaacha nyumba nne, harafu we ukajenge tena
 
Muuzaji anasema hauzi kwa kuwa ana njaa, anauza sababu haupendi, amenikumbusha "sizitaki mbichi hizi".
 
Saguda47 kwani shida ni sifa? We hujisikii vizuri mtu akisema kwao hawana shida?
Unajua we jamaa umenifanya niwe na mtazamo tofauti yani umetoa jibu mjarabu kiasi kwamba nikajikuta nacheka maana kweli shida siyo sifa....
 
Naomba tuwe marafiki basi, 0622767748
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom