Nauza pikipiki million 4

Nauza pikipiki million 4

Nmejaribu kupitia comments kuanzia page1-13

Nmegundua yafuatayo:-
1. Mtoa mada, Kichwan mwake kuna Nati flani hivi imelegea

Mengine mtaendelezea wenyewe.
 
Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
jf wote tuna maisha mazuri broo, usitutishe kwamba huna shida! shida unayo ndo maana ukauza au maana ya shida ni kuuza baada ya kukosa pesa?
 
Inasikitisha sana,
Pikipiki bovu kama hili eti Linauzwa 4 million
Screenshot_2018-11-25-19-12-48.jpg
 
Nmejaribu kupitia comments kuanzia page1-13

Nmegundua yafuatayo:-
1. Mtoa mada, Kichwan mwake kuna Nati flani hivi imelegea

Mengine mtaendelezea wenyewe.
Tueshimiane bwana
 
Jamani Leo mmenipa company sana, nilikuwa na mawazo sana Leo, nimecheka sana Leo, ila Jamie forum poa sana, love all guys
 
Mkuu mimi nina shida na piki piki ila sina hela mkuu . Nipo serious naomba unisaidie nakuja PM
Wallah Dudu baya akuachi kwenye list ya Tatu. Ambayo itasomewa Mwanza.

Hii sentensi yako tata sana " Mimi nina shida ila sina hela". Rwafitau
 
But ka kuna mtu nimemkwaza anisasamehe, ngoja niwape dili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom