Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,180
- 24,798
Ungekuwa huna njaa, usingekubali kuajiriwa na huyo unayesema boss aliyekupa! Ungenunua yako mwenyewe mpya na kisha kuajiri wengine...!Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
Pia unavyoanza kueleza masuala ya nyumbani kwenu inaonyesha hujakomaa, bado una utoto unaokusumbua, toka hapo kwa wazazi hama ukajitegemee wewe!