Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,691
Na iyo pikipiki ukiiuza zaidi ya 2m njoo nkuongeze m1 nyingine.Haya basi nna shida, nenepa wewe na roho yako
Na iyo pikipiki ukiiuza zaidi ya 2m njoo nkuongeze m1 nyingine.Haya basi nna shida, nenepa wewe na roho yako
haswaaaaaUngekuwa huna shida ungegawa bure kama wewe ulivyopewa bure
kumbe hujui hata kuendesha?Kwanza ntajifunza niendeshe mwenyewe, mjadara umefungwa
duhhh!! tabu sana, kwa karne hii?Ndiyo
paleka kule.... una tafuta slope Dada aolewe na tajiri ili unufaike sio... upewe tena kagari na nyumba kama bosi alivyo kupa... bado una ishi home alafu una piga kelele mjini... nenda katengeneze pesa yako kwa kuuza hata kibanda cha chips sio kumtengenezea mwingine pesa kwa kukuajiri na kumuita boss akiondoka ana kuonga pikipiki kwa shukrani ya kumla Dada yako...
masikini wa akili...
Unaona kwetu hatuna shida, ndo kauli mbiu yangu, nilishaipataga crankshaftKumbe libovu limekushinda. Alfu kma vle picha za kudownload unajitapa tu hmuView attachment 945647
Unadhani boxer hiyo, acha ujinga wewe..
mkuu najua wewe u mzoefu wa simu kuukuu kwa pkpk subiri wajuviNi milioni 4 za Tz au Zimbabwe mkuu!?be serious

utakuwa muhaya wewe, nani kaongelea shida?Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
wewe mgeni wa jf?Hawatoi nafasi ya kuelemishwa, it getting worse, more foolish they bcome
kwa post yako inaonyesha u kilazaa na hujui chochote kuhusu mashine hizihuyu mleta mada bila shaka anankonkiwa
we **** unasemajekwa post yako inaonyesha u kilazaa na hujui chochote kuhusu mashine hizi