Nauza pikipiki million 4

Nauza pikipiki million 4

Ndiyo maana mpya ni milioni 22 pale ktm, anaetaka aende akifika anipigie simu, ni karibu na home, ktm wapo masaki mtaa wa uporoto mi niko mtaa wa kahama
 
We una matatizo limu zake hazijapinda, ulivyosema vyote siyo sawa, mkuu au we kwenye picha umeona inatembea , ila hamkulazimishwa kununua, au mimi sikukwambia unipe ushauri,, watu wa uswahilini mna matatizo sana
 
Kwanza ntajifunza niendeshe mwenyewe, mjadara umefungwa
 
kama huna shida bas gawa au kaa nayo tu sio.kuja na porojo humu mkuu kuwa huna shida
 
Nafanya kazi ili nisikae home nikanenepeana mkuuu
 
Kuigawa mpaka roho inutume, Asa hivi imenituma niiuze
 
Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
Kama hauna shida igawe umeiletea nini huku?
 
Ila kwetu mashemeji maskini hatuwataki, vinyozi, wanaofanya kazi za udereva, wauza chips, mafundi simu, nooo
 
Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
Hakuna mtu ambaye hana shida dunia hii, ungekuwa huna shida ungeigawa bure 😏
 
Hakuna pikipiki mtori kama hizo inaonyesha limeanza kukutia dole ndo mana unauza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom