Kama huna shida iweke stoo nunua nyingine kubwa zaidi ya hiyo.Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
Dah hunijui vizuri, nimesema nauza kwa kuwa mimi si mpenzi wa pikipiki kwanza siezi kuendeshaUngekuwa na pesa ungekuwa unamiliki gar. Post zako za JF zimejaa mada za pikipiki tu. Na inawezekna wewe ni bodaboda maana hata 4m4 hukumaliza.
Wewe hata akili zako hazipo sawa visent vya urith vimekuzuzua ila vitaisha kma upepo vile.Pole ya nini mbona akina manji, MO, wa merithi, ujinga ni pale mmezaliwa wawili, baba kaacha nyumba nne, harafu we ukajenge tena
Kwenu hakuna shida ?!Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
Wewe ni bodaboda usizuge. Kwann 70% za post zako humi ni bodaboda tu?Dah hunijui vizuri, nimesema nauza kwa kuwa mimi si mpenzi wa pikipiki kwanza siezi kuendesha
Una hangaika na vya Wazazi eeh!Sisi ndo hatuna shida ukweli mchungu ila ndo ukweli huo
Huna shida wakati unafanya udalali wa pikipiki.Mkuu mimi sina shida amini hivyo
Jibu swali, kwann post zako karbu zote ni pikipiki tu?Mimi siezi endesha pikipiki mkuu
Milion nne bora ninue koroshoUna hangaika na vya Wazazi eeh!
Unadhani boxer hiyo, acha ujinga wewe..Ifanyie service kwanza ndo uuze mana inaonekana imechoka sana na inahitaj matengenezo iyo...kwa haraka haraka apo ilipo haina...
Matairi
Rims zimeshapinda
Shockups zimekwisha
Timing chain imekwisha
Taa zimekwisha
Dashboard imekwisha
Injini imeguswa iyo
Brake lines zmekwisha
Bampa zimekwisha
Rekebisha kwanza hivo alafu ndo uuze ila bei haitafika M 4
Hakuna binadamu asiyekuwa na shida. Tunatofautiana levels tu hata wakina bill nao wanashida zao sembuse wewe kapungu ndyo umepata vsent vya urith unakuja kuvimba humu kuwa huna shida.Mkuu kwanini mtu akikwambia hana shida roho yako inaumia sana?
Jibu swali unakwepa kwepa nini?Ukisoma kichwa cha habari Nimesema nauza pikipiki nilipewa na boss na mimi siezi kuendesha, tatizo liko wapi
Haya basi nna shida, nenepa wewe na roho yakoHakuna binadamu asiyekuwa na shida. Tunatofautiana levels tu hata wakina bill nao wanashida zao sembuse wewe kapungu ndyo umepata vsent vya urith unakuja kuvimba humu kuwa huna shida.