Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Njaa unayo.Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
we boya fala sana tafuta vya kwako sio kutegemea kwa wazazi wako hapo unajiona huna shidaUsihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
Acha kuongea kike kike , utaingiziwa duduKukonki ndo nini ka si Sina marindA ili Hali mimi ni mwanaume, una uhakika gani na mshua wako mkuu?
Duuh!!mmeshachimbua aiseeKumbe libovu limekushinda. Alfu kma vle picha za kudownload unajitapa tu hmuView attachment 945647
Kama hauna shida si ugaweUsihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
Njaa unayo tena umepigika haswaa Lasivyo usingeiuza, ungegawa au ungehifadhi tu store.Usihisi nauza kwa kuwa nna njaa, siye kwetu hatuna shida, nauza kwa kuwa mi si mpenzi wa pikipiki Kubwa na sipendi, mkuu sisi nyumbani shida hakujui kabisaaaaa
kwani yye hafai kuolewa mkuu maana ana maringo kama ya dada zakeKama kuna dada kwenu hajaolewa niambie !
kwenu au kwako unaanzaje kusema kwetu? lijitu lizima na mindevu yakoSisi ndo hatuna shida ukweli mchungu ila ndo ukweli huo
Yan unakuja kutambia wenzako urithi? Pole sana kijana. Had nimekuhurumia.We fala mzazi mwenye busara huacha urithi kwa wanawe, we kama baba yako hajakuachia pole sana, aliye kuzaa ndiye mwenye jukumu la kukulea
Unajua we jamaa umenifanya niwe na mtazamo tofauti yani umetoa jibu mjarabu kiasi kwamba nikajikuta nacheka maana kweli shida siyo sifa....Saguda47 kwani shida ni sifa? We hujisikii vizuri mtu akisema kwao hawana shida?
Ungekuwa na pesa ungekuwa unamiliki gar. Post zako za JF zimejaa mada za pikipiki tu. Na inawezekna wewe ni bodaboda maana hata 4m4 hukumaliza.Mimi hela nnayo