Nauza piki piki

Nauza piki piki

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,200
WanaJF, naiuza hii pikipiki yangu bei chee. Kama umeipenda ni-PM kwa makubaliano zaidi.
 
Attachments

Mkuu naipenda hiyo pikipiki lakini jina lake silipendi
 
Ipekek hiyo thread jukwaa la biashara.
 
Ipekek hiyo thread jukwaa la biashara.
Nami pia natambua jukwaa la biashara lipo, lakini biashara yangu nimeamua kuifanyia katika jukwaa hili. Kama wewe si mnunuzi niache.
 
<br />
<br />
nini maana ya kuwa na jukwaa la biashara? Wabongo wana Matatizo kweli.
 
inatatizo gani? weka picha na bei
 
Yaani mmeshindwa kuelewa kuwa hii ni joke? Jsaudi, kumbuka kuwa JF imeingiliwa na ma"great thinkers" ambao a simple joke kama hii mpaka sasa hawaelewi, hata baada ya kuwaambia kuwa unalijuwa jukwa la biashara lakini hii yako umeona uweke huku, bado tu hawajakuelewa. Hii ndio the way of thinking ya Watanzania walio wengi kwa sasa, hawanishangazi na ndio maana kila wanachoambiwa wao hufata kama misukule bila hata ya kuelewa maana.

Eeh, nyinyi misukule, Jsaudi alikuwa anajoke ili muone jina la hiyo pikipiki, atauza bila kuwawekea bei?
 
FF tafadhali pokea saluti tano toka kwangu. Nimeamini wewe kweli ni Great Thinker
 
Wapelekee Igunga kana mgombea 1 hana usafiri wa kupenya bush. Ataichukua hata kwa elfu ishirini.
 
WanaJF, naiuza hii pikipiki yangu bei chee. Kama umeipenda ni-PM kwa makubaliano zaidi.

Na magongo yake unayo?

Sikuhizi ukinunua pikipiki lazima udai na magongo kwa muuzaji, mana ajali za pikipiki ndio zinaongoza tz.
 
Back
Top Bottom