Nauza nguruwe watoto na wakubwa kwa wanaohitaji wa kufuga

Manguruwe ya kazi gani, nyamafu hizo.
Kwanza uchinjaji wake wa kifedhuli.
Waislamu, Wasabato na hata baadhi ya Wakatoliki hawali hii nyamafu
Hii ndiyo tamuuu ya Taifa kama ulikuwa hujui.Wote uliowataja wanatumia hii kitu.
2021051164747.jpg
 
Manguruwe ya kazi gani, nyamafu hizo.
Kwanza uchinjaji wake wa kifedhuli.
Waislamu, Wasabato na hata baadhi ya Wakatoliki hawali hii nyamafu
Ndugu si busara kutoa maneno kama haya katika tangazo la mwenzako. Tabia kama hizi ni sawasawa na Uchawi wa wazi tu. Labda hujawahi kuweka tangazo ukafanyiwa dhihaka kama hizi. We ukiona tangazo halikuhusu lala mbele.
 
Ndugu si busara kutoa maneno kama haya katika tangazo la mwenzako. Tabia kama hizi ni sawasawa na Uchawi wa wazi tu. Labda hujawahi kuweka tangazo ukafanyiwa dhihaka kama hizi. We ukiona tangazo halikuhusu lala mbele. Bora ukaushe tu si ustaarabu ni..... ******
Kama nguruwe ni nyamafu tusiseme?
 
Acha ussenge. Kama nguruwe ni nyamafu tusiseme?
Wacha Roho mbaya,
Mmeambiwa mle Nguruwe mkiwa na njaa.
Au unafiriki wengine hawana dhalula.

{ " 2: 173 - Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi.
Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe,
Mwenye kurehemu" }

Heshimu biashara ya wenzako.
 
Sinai ni wapi ndugu
[/QUOTE
Kama inatoka Buzuruga ukipita mataa kuelekea Mjini/mabatini kilometa moja hapo kuna magereji ulizia hapo au ingia mkono wako wa kulia vilevile Kama inatoka vity centre ni almost 4km then ingia kulia au uliza kwa Wadau hapo yalipo machinjio/mauzo ya nguruwe utatimiza hitaji lako pale then unipe mrejesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom