Nauza nazi kutoka Kilwa

Nauza nazi kutoka Kilwa

Nazi ya buku gengeni ni ndogo kama mpira wa kitenesi... Kubwa ni mpaka 1600!
Why-You-Should-Always-Fly-with-a-Tennis-Ball-in-Your-Carry-On_523522210_Nuk2013-ft.jpg
Unaishi wapi mkuu
Gengeni jana nimenunua ya 800
Maharagwe shata shata

Anyway bei yako ni nzuri na naamini pia zitakuwa nzuri siyo koroma
.
 
Stereo/ Temeke nazi moja unaipata kwa Sh.mia tano mpaka elfu moja.
Na zikifurika sana unapata mpaka kwa sh.mia tatu au mia nne.
Am sorry dear.
Nakupa challenges tu ili uangalie namna ya kufanya biashara kwa kasi.
Nipo kimara,naomba nielekeze soko lilipo ndugu
 
Back
Top Bottom