Nauza na kununua mbwa aina ya pitbull

Nauza na kununua mbwa aina ya pitbull

hao boerboel na pit bull sio mbwa wa kufuga nyumbani kabisaa , kuna jamaa alikuwa nao akawafuga siku mhudumiaji akawa hayupo, na yeye anachelewa kurudi anapitia baa , kurudi mbwa walikuwa wanetoka sasa wamemfuata akawasukuma , hilo balaa lake ni hatari jamaa alilazwa icu muhimbili mbwa wamemtoboa mwili mzima
 
hao pitbul ni wananguvu sana lakin tatizo yana vichwa vigumu sana kuelewa na mepesi kusahau hayafai nakwambia ni hatari kuyafuga kwa maisha yetu hapa bongo..Yani ni halina akili kabisa Nikupe ushuhuda kuna siku mlango wa banda lao sikufunga vizuri, nilikua na mbwa watatu mmoja pitbul na wawili ni GS.. sasa G.S Siwafungi na mnyororo wanakaa tu kwenye banda lao. sasa yule fala pitbul alikata mnyororo na kuuwa Bata wangu kama watatu wale G.S Walimshambulia kwa kufa na kupona walimjeruhi vibaya sikuhiyo hapo mtaani hapakukalika walikuja askari wakampiga risasi , hata mimi nilishukuru kwakwel maana kuna kipindi alikua ananizingua hadi mimi nnaye mfuga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walivyomjerui akawa haelewi ye anatafuna alie mbele yake nn
 
23840bdc466211fd5344727b89f4552a.jpg

Si huyo alielala[emoji23][emoji23][emoji23]

Boerboel-4.jpg

[emoji23][emoji23] hao Boerboel wanaonekana wazembe tu
 
After your comment ilinibidi niingie youtube kujiridhisha,asee!!pitbull ni hatari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona eehh! Anapiga adi kangal dogs au alabai dogs ambao ndo wenye nguvu kuliko wote
 
Mkuu wewe umefuga mbwa ili uwapiganishe? Unafuga mbwa bondia?
 
Back
Top Bottom