Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Unapatikana mkoa gani?
Akirusha nitag
Wanatisha mkuu ninayo mawili acha mchezoKuna dog wabaya kama GERMAN SHEPHERD???
View attachment 631481 View attachment 631481 View attachment 631482 View attachment 631482
Mkuu Pitbull huwajui vizuri. German Shephard ki ubora anashika namba tatu. Namba moja ni PitbullKuna dog wabaya kama GERMAN SHEPHERD???
View attachment 631481 View attachment 631481 View attachment 631482 View attachment 631482
Mkuu Shepherd haingii ndani ya pitbull pitbull hana urafiki na mtu ata boss wake anaweza mgeukiaKuna dog wabaya kama GERMAN SHEPHERD???
View attachment 631481 View attachment 631481 View attachment 631482 View attachment 631482
Mimi jirani yangu anao pitbull na sherphed yani pitbull akiamua kufunga mtaa mzima anaweza ndani ya nusu saa wanakichwa kikubwa balaaMkuu Pitbull huwajui vizuri. German Shephard ki ubora anashika namba tatu. Namba moja ni Pitbull
"Ukiwa nao ananunua kwa bei ya chini ukitaka kuuza mwuzie kwa bei ya juu" haiseee.."Ukiwa nao nanunua kwa bei ya chini Na ukitaka kuuza niuzie nachukua "
Aliye elewa hapa anisaidie
Hawa wanyanyua vyuma mbona misuli hivyo?![]()
Mtaa wenye hawa viumbe hakatizi mtu ......
Kula yao ni balaa
Mkuu Pitbull huwajui vizuri. German Shephard ki ubora anashika namba tatu. Namba moja ni Pitbull
Wanatisha mkuu ninayo mawili acha mchezo
Boerboel nawajua
Ni mbwa wa kisouth
Ni wazembe na si ngangali kama pitbull
Pitbul aina gan uliokuwa nae
Maana nilienae anakichwa kikubwa cha boerboel mara moja na musu
Hawa wanaakili sanaKuna dog wabaya kama GERMAN SHEPHERD???
View attachment 631481 View attachment 631481 View attachment 631482 View attachment 631482
Hii editingNa sea wolf?
View attachment 631483
Hawa wazembe sanaNilikuwa nao ila walikufa baada ya kuingiliwa na nyuki kwenye zizi lao. Kwa sasa nina Boerboel 6, hawa ni zaidi ya pitbull na wananifanya nisijutie kupoteza wale mbwa wangu wa mwanzoni (pitbull).
Ni breed za marekaniAise!! Mkuu pitbul wanatoka nchi gani?
Niko dsm mkuuUnapatikana mkoa gani?
Hamna kitu waleGermany shepherd ndio kiboko ya mbwa wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi jirani yangu anao pitbull na sherphed yani pitbull akiamua kufunga mtaa mzima anaweza ndani ya nusu saa wanakichwa kikubwa balaa