Usipende kuropoka mkuu. Boerboel ni zaidi ya pitbull, si wazemb hata kwa chembe. Ukimfuga awe mjinga atakuwa mjinga kama mbwa wengine tu. Nilikuwa na red nosed pitbull niliwanunua kwa jamaa fulani hivi kule Zambia
Hamnawanafaa kwa chakula??
Hawa wazembe sana
Hawako strong kama pitbul
Pitbul si wakubwa na sio wakali wa kubwekabweka kila mda ila wanapigana sanaMbwa yeyote anaweza kuwa mzembe kama unamfuga katika mazingira ya kijinga, hawa wangu (boerboel) ni mwisho. Wakali mno na wako very strong (ni wakubwa mara mbili zaidi ya pitbull), pia wako very smart na aware na majukumu yao. Pitbull ni wazuri ila boerboel ni mwisho wa matatizo, usujidanganye mkuu.
![]()
Si huyo alielala[emoji23][emoji23][emoji23]
Pitbul si wakubwa na sio wakali wa kubwekabweka kila mda ila wanapigana sana
Maisha yao2Ndiyo ila naona wote wamelala, kwani kulala ni uzembe au?
Nimekuelewa mkuuTrue lakini boerboel mkuu kule south wanafugwa na wakulima kwa ajili ya kupambana na chui na simba na ndiyo maana niliwanunua wangu kwa ajili ya nyumbani na nikienda shamba nawachukua baadhi (2). Naoma jibu umelipata hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanafaa kwa chakula??
Boerboel mbna nawaona kama wako kizembezembe sanaMwamba ngoma huvutia ngozi kwake [emoji16] Ukweli ni kwamba hizo breed zote si mbwa wa mchezo. Hao Boerboel kuna nchi kadhaa wamepigwa marufuku Boerboel - Wikipedia
Kuna purity ninayoitakaSasa kama unauza na kununua hapo si ushamaliza kila kitu.unajiuzia asubuh jioni unanunua toka kwako tena.inakuwa mzunguko huo huo na wala hupati hasara.jiuzie tu mwenyewe uendelee na biashara yako
Umewahishwa kutoka hospitalini huku wewe ni bado mgonjwaSasa kama unauza na kununua hapo si ushamaliza kila kitu.unajiuzia asubuh jioni unanunua toka kwako tena.inakuwa mzunguko huo huo na wala hupati hasara.jiuzie tu mwenyewe uendelee na biashara yako
Raha za JFwanafaa kwa chakula??
Hawa ni kwa akili na intelligence ila kwa ubabe asogei kwa pitbul
Mkuu Shepherd haingii ndani ya pitbull pitbull hana urafiki na mtu ata boss wake anaweza mgeukia