Nauza maziwa mgando lita moja Tsh1,500/= mkoa wa Kagera

Wazobora

Member
Jun 14, 2019
13
7
Habari zenu wanajf. Nitumie fursa hii kuwatangazia kuwa ninauza maziwa mgando kwa bei ya tsh1,500/= kwa lita moja maziwa yetu ni mazuri hayaja chakachuliwa kwa namna yoyote ile. Makazi yangu ni mkoa wa Kagera. Kama upo mkoa tofauti na mkoa wa Kagera itakupasa kulipia gharama za usafirishaji.

Ninauza kuanzia lita 100 ambayo ni sawa na dumu 5 za lita 20 kwa maana hiyo nauza kwa wateja wa jumla tu.

Mazungumzo yapo kwa wenye kuhitaji zaidi ya lita 200 ambayo ni sawa na dumu 10 za lita 20.

Kwa mawasiliano zaidi nambari zangu ni 0689031284

Karibuni sana na ahsanteni sana
Nyegera....
 
Habarini tena wanajf. Binafsi niwashukuru sana kwa muitikio mkubwa mlio uonesha katika biashara yangu. Pia kulingana na wingi wa oda tulizo nazo na oda mlizotupa tunaomba radhi kwa wateja wetu ambao kwa namna moja ama nyingine watachelewa kufikiwa na huduma yetu kutokana na umbali tuliopo kwa wale wateja wa mikoani hasahasa Dar es Salaam. Ila yote ya yote niwashukuru sana wanajamii wenzangu kwa sapoti yenu kubwa mnayoionesha

Punde si punde nitakuja na ofa kabambe hivyo basi niwasii tu mzidi kufatilia uzi huu ili msipitwe na ofa hiyo.

Ahsante sanaa
 
Habari zenu wanajf. Nitumie fursa hii kuwatangazia kuwa ninauza maziwa mgando kwa bei ya tsh1,500/= kwa lita moja maziwa yetu ni mazuri hayaja chakachuliwa kwa namna yoyote ile. Makazi yangu ni mkoa wa Kagera. Kama upo mkoa tofauti na mkoa wa Kagera itakupasa kulipia gharama za usafirishaji.

Ninauza kuanzia lita 100 ambayo ni sawa na dumu 5 za lita 20 kwa maana hiyo nauza kwa wateja wa jumla tu.

Mazungumzo yapo kwa wenye kuhitaji zaidi ya lita 200 ambayo ni sawa na dumu 10 za lita 20.

Kwa mawasiliano zaidi nambari zangu ni 0689031284

Karibuni sana na ahsanteni sana
Nyegera....
Wa mawe.
 
Back
Top Bottom